Siri ya kufaulu usaili sehemu yenye utata

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
41,626
Reaction score
65,099
Unapohudhuria usahili wa mahojiano, jitahidi kujibu vizuri maswali yote, na uhakikishe unajibu maswali yote kwa kujiamini na ikiwezekana majibu yako ya link na taasisi husika.

Baada ya mahojiano panel itakuuliza; Je, una swali lolote?

Jibu: Ndio

Waulize: Nashukuru kwa kunipa nafasi, swali langu ni hili; mnanithibitishiaje kuwa hii 'interview' ni ya haki na haina upendeleo kwa mtu mwingine?

Baada ya kuuliza hilo swali, usicheke na mtu; sikiliza majibu yao na usiongee tena; waage na uondoke.

Nb: Utakuwa umepata kazi
 
Asa kiongozi km swari likiwagusa sindo basi tena wataona kama nimewaahitukia hivi
 
Watakuogopa,na watahisi umejua siri yao na lolote linaweza kutokea; kuficha uovu wao itabidi wakupe nafasi
 
Kwenye vijikampuni vya wahindi au wachina hawatokuchukua,watahisi wewe utakua unawachallenge live bila chenga,na wao hawapendi kuchallenjiwa.
 
Uko sahihi, tumia kwa mashirika na taasisi za serikali
 
Unapohudhuria usahili wa mahojiano, jitahidi kujibu vizuri maswali yote, na uhakikishe unajibu maswali yote kwa kujiamini na ikiwezekana majibu yako ya link na taasisi husika.

Baada ya mahojiano panel itakuuliza; Je, una swali lolote?

Jibu: Ndio

Waulize: Nashukuru kwa kunipa nafasi, swali langu ni hili; mnanithibitishiaje kuwa hii 'interview' ni ya haki na haina upendeleo kwa mtu mwingine?

Baada ya kuuliza hilo swali, usicheke na mtu; sikiliza majibu yao na usiongee tena; waage na uondoke.

Nb: Utakuwa umepata kazi
Mkuu, umefanya lin usahili ukauliza swal hlo??
 
naomba uliulize hili swali kwa Kizungu😇😇
 
Kama ni mtoto wa kike umejaaliwa msambwanda wewe utikise huku unawaaga wallah kazi umepata.....chezea msambwanda wewe
 
Back
Top Bottom