---
🐄📌 ELIMU KWA WAFUGAJI
⏱️ MUDA SAHIHI WA KUPANDISHA NG’OMBE
---
🔍 Kwa nini ni muhimu?
Kupandisha kwa wakati sahihi huongeza nafasi ya kushika mimba na kuepuka kurudia mara kwa mara.
---
✅ NG’OMBE JIKE ANAPOTAYARI KUPANDWA:
1. Dalili za Joto:
- Kutokwa na ute mweupe wa kunata
- Kukosa utulivu na kurukaruka wenzake
- Kusimama unapomkalia (standing heat)
---
🕒 MUDA SAHIHI WA KUPANDISHA:
✅ Kupandisha ndani ya muda huu husaidia kuongeza nafasi ya mbegu kukutana na yai kwa mafanikio.
---
📞 Kwa Uhimilishaji na Ushauri:
Dr. Gilliard – Daktari wa Mifugo
📱 0674740836 | 0792263640
---
🐮 Panda kwa wakati, upate ndama bora na afya imara!

- Pandisha saa 12 hadi 24 baada ya kuonekana dalili za joto
- Mbegu hupandikizwa wakati wa karibu na kuachia yai (ovulation), ambayo hutokea kati ya saa 24–32 baada ya joto kuanza