L lalie Member Joined Jan 6, 2024 Posts 26 Reaction score 34 Jan 20, 2024 #1 Waungwana naomba msaada wenu ili mniongezee ujuzi maana ninao haba. Naomba mniambie: Muda ni kitu gani?
Waungwana naomba msaada wenu ili mniongezee ujuzi maana ninao haba. Naomba mniambie: Muda ni kitu gani?
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 34,977 Reaction score 102,165 Jan 20, 2024 #2 Saa.
Waterbender JF-Expert Member Joined Oct 2, 2018 Posts 7,913 Reaction score 10,745 Jan 20, 2024 #3 lalie said: Waungwana naomba msaada wenu ili mniongezee ujuzi maana ninao haba. Naomba mniambie: Muda ni kitu gani? Click to expand... ni gereza la nafsi
lalie said: Waungwana naomba msaada wenu ili mniongezee ujuzi maana ninao haba. Naomba mniambie: Muda ni kitu gani? Click to expand... ni gereza la nafsi
K kibobori mahoro JF-Expert Member Joined Dec 12, 2022 Posts 8,624 Reaction score 12,199 Jan 20, 2024 #4 Google tuone
choza choza JF-Expert Member Joined Jan 17, 2019 Posts 2,289 Reaction score 4,092 Jan 20, 2024 #5 Is interval at which event occur
Jasmoni Tegga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2020 Posts 13,481 Reaction score 26,390 Jan 20, 2024 #6 Muda ni wendelezi usoshuba (nonspatial continuum) ambapo matukio hufanyika kutoka wakati uliopita kupitia sasa hadi wakati ujao kwa mfuatano unaoonekana kutotenguka. Kifupi, muda ni kipimo cha kufanyika kwa tukio.
Muda ni wendelezi usoshuba (nonspatial continuum) ambapo matukio hufanyika kutoka wakati uliopita kupitia sasa hadi wakati ujao kwa mfuatano unaoonekana kutotenguka. Kifupi, muda ni kipimo cha kufanyika kwa tukio.