Muda kubadilika automatic

Muda kubadilika automatic

Hadrianus

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2020
Posts
2,112
Reaction score
5,271
Leo nilikua naangalia saa kwenye simu yangu ndogo (kiswaswadu, kitochi) ilikua saa 11:44 ghafla ikabadilika na kuwa saa 08:44. Nikarekebisha ikakaa sawa.

Imefika saa 13:04 ikabadilika tena na kuwa saa 10:04. Nikahisi simu yangu itakua na tatizo, ghafla akaja jamaa mmoja naye analalamika tatizo hilo kua simu yake inajibadili muda.

Je hii inaweza kuwa shida gani?
 
Mmmh! Ngoja nifanye toba mapemaa maana watu washaanza kupewa ishara ya parapanda kulia.
 
Na Mimi yamenikuta, eti saizi saa 20: inaonesha saa 17:
Screenshot_20201125-170716.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom