Muda kama huu kipindi cha Mungai na Prof. Maghembe.

Muda kama huu kipindi cha Mungai na Prof. Maghembe.

IzukeneJr

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2012
Posts
758
Reaction score
753
Katika pitapita yangu mtaani siku ya leo nmekutana na vijana wengi wa kidato cha nne wakizunguka huku na kule kusaka walau zilizovuja bila mafanikio, hali hii imenifanya nikumbuke miaka kadhaa iliyopita ambapo muda kama huu kulikuwa na pepa nying sana mtaan na watu walikuwa wanapata wakati mgumu sana kung'amua ipi feki ipi origino. Nakupongeza mama pale wizarani, walau umejaribu kuzuia huku kuvuja.
 
Kama itakuwa hivyo labda mambo yanaweza kuwa mazuri kwa kupunguza wasomi feki.

staili hii inatuhakikishia kwamba div 0 zitaendelea kuwa nyng bt pia watakaoenda advance watakuwa n wale wenye uwezo.
 
Back
Top Bottom