KUTATABHETAKULE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 5,455
- 5,459
CNN, BBC, ALJAZEERA na vituo vya nchi jiraniAsanteni sana wahusika.
Sisi wenye dstv inabidi tuangalie chefeko chereko la sivyo tuangalie wakata viuno sound city.
Au wacheza uchi sound city
Tunashukuru
Mkuu una Dstv halafu unatizama TBC...lengo la DSTV ni mpira aisee jaza kifurushi uangalie burudani ya mpira
Kujitapa tu Dstv atoe wap?.. mtu anatumia continental afu anakuja kushika watu apa eti anatumia dstvKuangalia TBC kwenye kisimbusi cha DSTV ni sawa na kubeba gunia moja kwenye semi trailer.
Wewe umeongea ukweliWanatengeneza KIKI ili Kiongozi wa juu aingilie kati ionekane anawajali wananchi
we kimimbaKujitapa tu Dstv atoe wap?.. mtu anatumia continental afu anakuja kushika watu apa eti anatumia dstv
mbona kontinento inauzwa bei kubwa kuliko dstv.. dstv ni elfu 60 tuKujitapa tu Dstv atoe wap?.. mtu anatumia continental afu anakuja kushika watu apa eti anatumia dstv
Capital tv imetolewa azam nimesikitika Sana Ni kama mateso kama hauna ela ya kifurushi ,hopefully watatatua Hilo suala turudishiwe capital yetu! Maana hatujazoea kwenda mabaa au disco tukimaliza kazi zetu tunatulia nyumbani kupumzisha akiliMie kifurushi cha Azam kikiishaga muda wake ikabaki TBC tu hua nahesabiaga hakuna kilichobaki,
Nawekaga hata Channel # 100 ya Azam ambayo huonyesha matangazo yao ya Vipindi mbalimbali
Muelimisheni waziri wenu asikupuke kutoa matamshi yaliyo kinyume na maudhui ya mkataba waliochukulia leseni zao TCRA....kuonyesha local channels na taarifa ya habari yalikuwa Ni mahaba yao wenyewe wamiliki hayako kisheria, ndo maana wamemkalia kimya tu, kwani mteja alilipia kingamuzi kwa ajili taarifa ya habari au Itv....wapeleke sheria haraka bungeni kurekebisha Hilo, vinginevyo mtasikia matamko tu yasiyotekelezeka...Capital tv imetolewa azam nimesikitika Sana Ni kama mateso kama hauna ela ya kifurushi ,hopefully watatatua Hilo suala turudishiwe capital yetu! Maana hatujazoea kwenda mabaa au disco tukimaliza kazi zetu tunatulia nyumbani kupumzisha akili
Duuh alfu60 bei ya wapi hiyo mkuu? Continental wanauza shillingi ngapi?mbona kontinento inauzwa bei kubwa kuliko dstv.. dstv ni elfu 60 tu
Tena panoja na ufundi wa kufungiwa.Duuh alfu60 bei ya wapi hiyo mkuu? Continental wanauza shillingi ngapi?
Nachofahamu DSTV ni alfu79 imeshuka tangu lini mkuu?Tena panoja na ufundi wa kufungiwa.
Wewe unaishi wapi ndigu yangu.
Tena wanakupa offer miezi miwili bure bila malipo
Upo sahihi ni 79kNachofahamu DSTV ni alfu79 imeshuka tangu lini mkuu?