Ukifanya mazoezi ya kukimbia Asubuhi (Jogging) unatakiwa kuoga muda Gani mara baada ya kumaliza mazoezi??? Je unatakiwa kuoga mara tu unapomaliza kukimbia au unatakiwa kukaa muda fulani unapomaliza kukimbia?
Inapaswa usubiri hadi mwili upungue joto, usiingie bafuni kuoga maji ya baridi huku unaloa jasho, ni hatari.
Pia jenga desturi ya kuosha miguu kwanza kabla kichwa au sehemu nyingine ya mwili.