Mapenzi hayaelezeki kabisa.Mkuu unaweza kumchunguza hata mwaka mmoja na bado akaja kuzingua mbeleni, siku hizi mapenzi kamari, tena kamari ya karata 3, unayoamini ndio sio na uliyoiacha ndiyo
Asante jibu ni hiliKupata mtu sahihi kwako ni bahati tu....
Kuna watu wanakutana bar na kusex siku hio hio baada ya miaka miwili wanafunga ndoa na kuishi kwa furaha. ..
Na kuna watu wanakutana nakufanya uchumba kwa miaka mitatu bila kusex lakini wakaachana mara tu baada ya kusex hata ndoa hawajaiona..
Mke/mume mwema anatoka kwa Mungu sali sana umpate mampema..
Uko sahihi kabisa, huwezi kumchunguza mtu ukamalizaUna mchunguza ili ugundue nini? Sioni haja ya kumchunguza kwa sababu utawapoteza wengi sana, kila mtu anamapungufu. Kama mtu anakupenda anakupenda tu.
Kujua tabia ya mtu ni kazi kubwa mnooo hata upewe miaka 10 hautaweza kujua vyote.
Tendo pendwa inategemeana na hisia zenu.
thanksUna mchunguza ili ugundue nini? Sioni haja ya kumchunguza kwa sababu utawapoteza wengi sana, kila mtu anamapungufu. Kama mtu anakupenda anakupenda tu.
Kujua tabia ya mtu ni kazi kubwa mnooo hata upewe miaka 10 hautaweza kujua vyote.
Tendo pendwa inategemeana na hisia zenu.
Haina kanuni mkuu na usicomplicate sana katika kutafuta mwenza wako.Mimi naamini kuwa mwenza wako yupo pale ulipoSalaam wakuu wa idara zote,
Kama kichwa kinajieleza,
Mada ni muda gani sahihi wa kumchunguza mtu hadi unakuja kuwa na mahusiano nae ya kimapenzi? Pia ni muda gani baada ya kuwa nae katika mahusiano unafaa kukutana nae kimwili?
Ni hayo tu nawasilisha mada kaeni kwenye viti mada ipo mezani inahitaji mchango wa hali na mali kunisuru tunaolia lia na mapenzi ya kupemda sana halafu kuumia zaidi.
Karibuni.
Safi sana mkuu. Maana unaweza kuoa uvccm halafu ikatokea umelazwa hospitali asije kukuona.Sio uvccm?