Muda gani sahihi kushiriki tendo baada ya upasuaji?

Muda gani sahihi kushiriki tendo baada ya upasuaji?

Na mwanamke akujufungua kwa kawaida kuanza kula tunda recommend ni mda gani
 
Wiki 6.
Pia ongea na daktari wako akishakucheki kwamba afya yako imerejea
 
Mama apewe mida wa kupimzika walau miezi nane.Unaweza kufumua mshono
 
Mwache mke apone mkali acha tumbo, unataka kusema huna mchepuko? Tatizo nini?
 
Back
Top Bottom