Msaada: Ni baada ya muda gani ndipo mwanamke aliyezaa kwa oparesheni anaruhusiwa kufanya tendo la ndoa?

Yuyo Ahumile Shamalendi

JF-Expert Member
Mar 10, 2018
993
782
Wakuu salaam,

Kama kichwa cha habari kinavojieleza naomba kujua kutoka kwa wabobezi, madaktari na wataalamu wengine hili suala la mwanamke aliyefanyiwa upasuaji wa uzazi anaweza kufanya tendo la ndoa baada ya muda gani kutoka alipofanyiwa upasuaji

Nakaribisha michango yenu, karibu.
 
Huo ndio mdaa mzuri. Wa kuchezaa mechi za ugenini.... Mkuu jaribu kufikiria na hilo piaa...

Kuongezaa na maujuzi kwa majirani...jaribu kumpaa mda wa kutosha. Mkeo tafadhari.... Inategemeana na upasuaji wake umemuathiri kiasi gani mpkaa pale atakapokuwa salama kabisaa kuchezaa michezo huruuu... Nadhani itachukuaa mdaa lakini pia kuna style pendwaa. Zinaweza tumika kukizi hajaa za kula tundaa bila kupukutisha majani. Nadhani wadau wengine watajaribu. Kuzitaja hapa chini....

Angalizo. Style za popo kanyea mbigu si salamaa sana kwa kipindi hichi..

Ahsante
 
Haha ."popo kanyea mbingu"
 
Haha ."popo kanyea mbingu"

Katika matukio ya dharula. Style hiyo inafaa sanaa hasaa mechi za fainali...

Ngojaa nisiongee sanaa. Nisijeee toboa siri za kambi... Niliapaa kuzitunzaaa. Na kuzitoaa katika matukio ya dharula na yenye uhitaji mkubwa sana...
yna4
 
dyu naona uvumilivu umekushinda mkuu unataka upandishe mnara :D:D
Mkuu we acha tu, najaribu kutafakari mchepuko naona bado mnara haukai sawa, ila nikimfikiria wife aisee mnara unachana suruali sijui nina tatizo gani, lakini mpaka sasa nina miezi minne sijaonja papuchi
 
Bado kama kafanyiwa upasuaji hadi 6 anagalau wee vumilia tuu maana kwa nje kapana ila ndani bado si unajua maeneo yale misuli hua laini?
Mh! Haya mambo kwangu mageni, huyu ni mtoto wa tatu hawa wengine wamezaliwa kawaida tu, siku arobaini mzee unadandia tena si kwa kuomba unalazimishwa
 
We subiri mpaka akupe yeye
Huu ni muda wa masta tu mkuu
Fanya online application chaputa
 
Wakuu salaam,

Kama kichwa cha habari kinavojieleza naomba kujua kutoka kwa wabobezi, madaktari na wataalamu wengine hili suala la mwanamke aliyefanyiwa upasuaji wa uzazi anaweza kufanya tendo la ndoa baada ya muda gani kutoka alipofanyiwa upasuaji

Nakaribisha michango yenu, karibu.
Wakati unasubiri mwenzako
Ataponea wapi?
 
Back
Top Bottom