Muda gani mzuri wa kutongoza

Lkn matumizi ya sim na baadhi ya mitandao ya kijamii yamepungu uwezo wa watu kutongoza yaani ile face to face kwa kizazi cha leo ni ngumu couse demu akikupa namba tu ndo ameshakubali

sasa kumbe vip? apo ndo mwisho wayote sio mambo yale ya kipindi kile cha nyerere mtu unafukuzia miaka mitatu. mara uende kisimani una msubiri na asitoke.
Sijui mabarua uandike mambo yanaenda kimfumo mfumo tu sikuizi kubadilika kwasana.
 
No formula hapo mkuu.....wala exactly time.. muda wowote tuu unasema.
 
Ebu huu uchaguzi upite tu,maana viroja vimezidi.
 
Kuna watu mnapenda kufanya maisha magumu....
 
saa 9 usiku kila mtu kalala mnakuwa wawili tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…