Kati ya asubuhi au mchana na jioni, maana nyakati zote zimeniwia ngumu asubuhi mtu ndio anaamka na mipandilio ya kazi pengine,mchana au jioni kazi zimemalizika ana uchovu, au jpili mtu katoka kanisani anatafakari masomo na mafundisho ntawezaje kumwambia nakaupenda! Nimekua cross way kwahilo sijui ni muda gani ufaao kuongea na mdada kwa minajili ya ndoa tuu si vinginevyo

Muda mzuri wa kutongoza ni pale unapokuwa umeshajipima wewe mwenyewe kuwa upo tayari kuoa na unaweza kuhimili mikikimikiki ya ndoa......
kuanzia million 5
Hivi huu mfumo upo tena kweli? Na ikikutika bint mwenyewe ana mpenzi wake je? Kwa sasa inatakiwa kuomba nafasi kwa mhusika kwanza then barua inafuataUnayetaka kumtongoza ratiba yake ikoje? Kama nia yako ni ndoa tumia utaratibu wa 'original' culture ya Kiafrika ya kuchumbia kwa kuandika barua na kutuma mshenga. Kwani wewe hukusoma 'Things Fall apart'? Halafu 'kutongoza' na 'kuchumbia' na hatimaye kuoa ni mambo tofauti kabisa, na mara nyingi mhusika akisikia unataka kumtongoza na sio uchumba kazi ni kubwa ila hautakiwi kudanganya.
Kati ya asubuhi au mchana na jioni, maana nyakati zote zimeniwia ngumu asubuhi mtu ndio anaamka na mipandilio ya kazi pengine,mchana au jioni kazi zimemalizika ana uchovu, au jpili mtu katoka kanisani anatafakari masomo na mafundisho ntawezaje kumwambia nakaupenda! Nimekua cross way kwahilo sijui ni muda gani ufaao kuongea na mdada kwa minajili ya ndoa tuu si vinginevyo
sasa mtongozo wako unafaida gani kama utakuwa huna helaLol, kwani anakwenda kununua kibajaji!!
ha ha haha5ml?? Ngoroooobo! कुँआरी .?
inarudi halafu hapo hutakataliwaSa dada yangu hio ela itarudi kweli maana ni kama uwekezaji mbona
siyo yangu mimi thamani yangu ni kubwa mno ..Thamani yako ni milion 5?
Kama sh. Ngapi utakubali?
naunga mkonyo mkono hoja