Kati ya asubuhi au mchana na jioni, maana nyakati zote zimeniwia ngumu asubuhi mtu ndio anaamka na mipandilio ya kazi pengine,mchana au jioni kazi zimemalizika ana uchovu, au jpili mtu katoka kanisani anatafakari masomo na mafundisho ntawezaje kumwambia nakaupenda! Nimekua cross way kwahilo sijui ni muda gani ufaao kuongea na mdada kwa minajili ya ndoa tuu si vinginevyo
Kama unataka kuoa angalia wakati ambapo binti ameshaanza kupoteza kujiamini, alikuwa haendi salooni lakini sasa anaanza kubadili mitindo na uvaaji unaanza kubadilika na akitembea anatoa kifua na kukanyaga kwa kishindo ili atikisike kidogo. Kama ni mlaji tu angalia rangi ya macho na mitetemeko ya mdomo
Lkn matumizi ya sim na baadhi ya mitandao ya kijamii yamepungu uwezo wa watu kutongoza yaani ile face to face kwa kizazi cha leo ni ngumu couse demu akikupa namba tu ndo ameshakubali