Muchacho, aliyekuwa Meneja wa Simba, Afariki

Kalale pema peponi mzee wetu muchacho
 
pole zao wale wote waliokuwa wanmtegemea muchacho..
 
Wadau..huyu mzee ukiondoa maswala ya soka si alikuwa anajishughulisha kuchoma mishikaki na kuku wa sekela..aliwahi kufanyia kazi hy mtaa nyamwezi/lindi au karibu na mtaa wa kipata..mara ya mwisho alikuwa anachoma mishikaki maeneo ya upanga ..karibu na chuo cha mzumbe..pia alikuwa shabiki mkubwa wa Liverpool..kwa sifa hizo nijulisheni kama ndiye.RIP
 

Hawezi kuwa siye.
 
....Inna Lillah wa Inna Ilayhi Rajiun,

Mchango wake kwa club ya Simba hautosahaulika.

Mwenyezi Mungu amghufirie aloyatanguliza
Inshaallah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…