asante sana kwakuja kutupa Feedback wewe ni muungwana mzuri. Waswahili wanasema Ungwana ni vitendo sasa wewe umefanya jambo muhimu sana kuja kutpa Feedback hongera kwakupata mtoto Mungu akubariki na akulinde na mabalaa ameen.Jamani napenda kutoa shukran zangu za dhati kwa dokta mzizimkavu na madaktari wote wa JF, japo sikuwahi kuleta uzi humu jukwaani lakini nilikuwa najitahidi sana kufuatilia kwa ukaribu miongozo yao na majibu yao kuhusiana na afya ya uzazi.
I was pregnant, na kwa miongozo yao; I thank God nilifanikiwa kujifungua salama mtoto wa kiume. Niliumwa uchungu for almost 2hrs tu.
God bless you dear doctors, muendelee na moyo huohuo wa kujitoa kusaidia wanajukwaa!
asante sana bibie Mwenyeezi Mungu akubariki inshallah.Hiyo ndo neema ya kuwa na waungwana wenye kujitolea !! Pongezi kwa MziziMkavu na JF dotors.
Mashkurr !! kila la kher...asante sana kwakuja kutupa Feedback wewe ni muungwana mzuri. Waswahili wanasema Ungwana ni vitendo sasa wewe umefanya jambo muhimu sana kuja kutpa Feedback hongera kwakupata mtoto Mungu akubariki na akulinde na mabalaa ameen.
asante sana bibie Mwenyeezi Mungu akubariki inshallah.
Alhamdulillah...mtoto yuko salama? Na wewe unaendelea vizuri? Hongera sana mama Mungu akuekee mtoto wako
Ni kweli watu hawa wamekuwa msaada sana mkubwa kwa jamii! Ukienda hospitali huwezi kumwona dr.bure, sometimes inagharimu hadi Tsh.50,000/= kumwona dr. tu, lakini humu jamvini wanatusaidia sana tena bure! Mungu awabariki.
asante sana kwakuja kutupa Feedback wewe ni muungwana mzuri. Waswahili wanasema Ungwana ni vitendo sasa wewe umefanya jambo muhimu sana kuja kutpa Feedback hongera kwakupata mtoto Mungu akubariki na akulinde na mabalaa ameen.
asante sana bibie Mwenyeezi Mungu akubariki inshallah.