Much respect to Mzizi Mkavu and all JF Doctors

Sukula

JF-Expert Member
Jun 16, 2012
1,198
447
Jamani napenda kutoa shukran zangu za dhati kwa dokta mzizimkavu na madaktari wote wa JF, japo sikuwahi kuleta uzi humu jukwaani lakini nilikuwa najitahidi sana kufuatilia kwa ukaribu miongozo yao na majibu yao kuhusiana na afya ya uzazi.
I was pregnant, na kwa miongozo yao; I thank God nilifanikiwa kujifungua salama mtoto wa kiume. Niliumwa uchungu for almost 2hrs tu.
God bless you dear doctors, muendelee na moyo huohuo wa kujitoa kusaidia wanajukwaa!
 
asante sana kwakuja kutupa Feedback wewe ni muungwana mzuri. Waswahili wanasema Ungwana ni vitendo sasa wewe umefanya jambo muhimu sana kuja kutpa Feedback hongera kwakupata mtoto Mungu akubariki na akulinde na mabalaa ameen.

Hiyo ndo neema ya kuwa na waungwana wenye kujitolea !! Pongezi kwa MziziMkavu na JF dotors.
asante sana bibie Mwenyeezi Mungu akubariki inshallah.
 
asante sana kwakuja kutupa Feedback wewe ni muungwana mzuri. Waswahili wanasema Ungwana ni vitendo sasa wewe umefanya jambo muhimu sana kuja kutpa Feedback hongera kwakupata mtoto Mungu akubariki na akulinde na mabalaa ameen.

asante sana bibie Mwenyeezi Mungu akubariki inshallah.
Mashkurr !! kila la kher...
 
Ni kweli watu hawa wamekuwa msaada sana mkubwa kwa jamii! Ukienda hospitali huwezi kumwona dr.bure, sometimes inagharimu hadi Tsh.50,000/= kumwona dr. tu, lakini humu jamvini wanatusaidia sana tena bure! Mungu awabariki.
 
asante sana kwakuja kutupa Feedback wewe ni muungwana mzuri. Waswahili wanasema Ungwana ni vitendo sasa wewe umefanya jambo muhimu sana kuja kutpa Feedback hongera kwakupata mtoto Mungu akubariki na akulinde na mabalaa ameen.

asante sana bibie Mwenyeezi Mungu akubariki inshallah.

Asante sana, Mwenyezi Mungu akubariki kwa kazi yako ili uzidi kusaidia na wengine.
Miongozo yako tu ilitosha kunifanya nipate uelewa wa kutosha kiasi kwamba ht nilipokuwa naenda klinik nilikuwa sina haja ya kusubiri darasa tena maana ni km vl karibia vyote nilikuwa navijua kupitia jf.
Ubarikiwe sana!
 
Hongera Sukula kwa kujaliwa kupata mtoto. Nakutakieni (ww na mtt) afya njema na maisha marefu.
Shukrani kwa MziziMkavu na JF Doctors kwa kutujali.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom