MUCCoBS...upande mmoja.

Mentor

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2008
Posts
20,335
Reaction score
23,951
Juzi nilibahatika kupita upande huu wa MUCCoBS nikakumbuka enzi hizo nikisoma hapa...this is spesheli kwa classmate Smile na alumni wote wa MUCCoBS...






Haya maghorofa niliyaacha yana rangi nyeupe halafu machafuuu...i was well pleased!





...and back before this was a POSTGRADUATE center...nilienda kindergaten hapa! Kunywa uji na chai na mkate...!


View attachment 119635

View attachment 119636
View attachment 119637
The Library...wengine tulipafanya makutano junction tu!





Office...



 
Viva la President,viva la General.
Nalog off
 
Kwel naona hostel hizo wamepaka rangi nyingine..naona pamezidi kupendeza! Mazingira hayo yamenikumbusha mbali enzi napiga mishe mishe hapo na mzee wangu wa ukweli #kiko .
 
Kipindi anachozungumzia Mentor jina la Muccobs halikuwa likifahamika. Jina lililotamba wakati huo ni Co-operative College. Jina Muccobs lilianza kutumika 2006 baada ya chuo hicho kupanda daraja na kuwa university college na kulelewa na Sokoine University of Agriculture (SUA) Picha alizopiga Mentor ni za enzi ya Co-operative College sio Muccobs!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu ulikuweko lini huko?

Ni weekend hii tu mkuu...

Kwel naona hostel hizo wamepaka rangi nyingine..naona pamezidi kupendeza! Mazingira hayo yamenikumbusha mbali enzi napiga mishe mishe hapo na mzee wangu wa ukweli #kiko .

Ahaha Lyimo Kiko ulimfahamu..yule mzee nahisi Smile anaweza msemea vyema...ni balaa!!!


SHIEKA, hapana mkuu!

Picha hizi ni za weekend ya juzi (2/11/2013). Ila mimi nilianza kupafahamu Chuo cha Ushirika kabla hakijawa MUCCoBS. Nakumbuka enzi tunakunywa chai maziwa ya ng'ombe wa hapo hapo na mayai! Enzi hizo kilikuwa kweli chuo cha biashara na ushirika sio siku hizi walimu wanafundisha nadharia tupo SACCoSS yenyewe nahisi ishakufa au ipo mwishoni mwa siku zake.

Enzi zile kuna mabanda ya nguruwe, ng'ombe, kuku...dem days!!!
 
Last edited by a moderator:
Mentor mzee #kiko nimekaa nae sana hapo! Mishe za kuwatafutia madogo hostel! Jioni kugawana mahesabu na kupiga vitu tu hadi mida mibovu!

Hahaha yule mzee ni social sana!
 
Last edited by a moderator:
SHIEKA hata baada yakubadilishwa Kuwait muccobs bado majengo .ni yale yale sema kunaongezeko la majengo na uboreshaji wa mazingira, Dr.Bee nae amejitahidi....
 
Last edited by a moderator:
SHIEKA hata baada yakubadilishwa Kuwait muccobs bado majengo .ni yale yale sema kunaongezeko la majengo na uboreshaji wa mazingira, Dr.Bee nae amejitahidi....

mkuu sio DR.BEE NI PROFESA BEE
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…