MUCCoBS kuwa MoCU

Mi nakufunza adabu siwez kukutamani usiyejua hata kujiswafi

hiloooo!!maneno ya mkosaji hayo..jifunze kutongoza kwanza ndo uanze kuparamia wanawake,sio unakuja na sound za kishaamba.
 
kama umeshndwa kutongoza wazee wenzio huko,utaniweza mie?adabu jishikishe mwenyewe kwanza.

Seneta acha porojo wewe kwanini ulimwanika mwenzio hapa jf?

Kwanini ulimsaliti rafiki yako kwa Ku disclose jina lake?
 
kwa nin uliopt kwenda muccobs?
I loved it.....niliichukia UDSM kutokana na jiji lenyewe na miundo mbinu yenyewe! katika List ya mikoa na ma-jiji niliyopenda kwenda kufanyia kazi Dar wasn't in the list. Na Kwa Accounting nzuri yenye kiwango cha board UDSM hawana kwakua hawako chini ya Board Ya NBAA na mitihani yao inatungwa internally na kusahihishwa internally.
 
Kweli mkuu ni kweli mitihani huwa inapitia NBAA Kwa ajili ya moderation
 
Hivi mkuu mshahara wa MTU mwenye CPA(T) + BACHELOR DEGREE ni bei gani na mtu mwenye bachelor tu ya Accounting?
Mkuu siwezi kukutania kampuni zenye uwezo wa kuwalipa watu wa level hizo kwa ustahiki mzuri bongo zipo chache sana na waliopo kwenye nafasi hizo ndo wameshafika, na hata ukiisoma umeshafika kazini kupandishwa cheo sambamba na mshahara utasubiri sana na hata ukipandishwa mshahara ni ule tu kujisahulisha lakini hauwezi kulipa muda na cost plas usumbufu unaopata wakati wa kuitafuta!
Wanawake wanaweza kuongeza elimu hizo kwa kuwa hawana majukumu kama wanaume, wao kujenga familia kwa kui-finance ni favour wakati kwa wanaume ni lazima! Bila kusahau na wale wengine waliozaliwa na kuzikuta hela lakini kwasisi watoto wa kwanza, mmoja katika familia ndo tegemeo la familia nzima ni ngumu sana!

Naomba mtu asikwazike kwa kua ni mtazamo wangu tu na si sheria!
 
Seneta acha porojo wewe kwanini ulimwanika mwenzio hapa jf?

Kwanini ulimsaliti rafiki yako kwa Ku disclose jina lake?

huna jipya,angalia usije ukamtongoza hata mama yako humu jf.
 
höngera muccobs full content you hv confirmed that edu is nöt buildings but knowledge
 
Ha ha ha senator dhambi ulomfanyia MPIGAMSULI lazima ikurudie...

Cc: Excel... Remote

ungekua una akili timamu,ucngehangaishana na vibinti vidogo humu jukwaani,lakin kwa kuwa hujiheshmu ndo maana unadhalilika 2 humu.
 
Last edited by a moderator:
baba zima unahangaika na visichana vidogo..ebu jiheshmu we mzee.khaaah

Mkuu hivi kumbe wewe ni binti? Sikujua hilo.

By the way, i hope now kichwa chako kimejaa nondo za economics na ujasiriamali, forget the past!

Vipi ile ishu ya september 11 bado haijatoka?
 

Umeongea fact big up
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…