Mpigamsuli
JF-Expert Member
- May 24, 2012
- 3,885
- 584
Go Go MUCCOBUSY, my long time friend!Wakuu chuo cha MUCCoBS [ Moshi University College of Cooperative and Bussiness Studies ] kinabadilika kuwa chuo Kikuu kamili ambacho kitaitwa MoCU[ Moshi Cooperative University] mabadiliko hayo yataanza Mara tuu baada ya kufungua chuo mwezi wa kumi
Hahaha mkuu chuo kikongwe hiki cha 1964[1],centre ya taaluma ya za ushirika,uhasibu,economics,law,human resource,microfinance,,Go Go MUCCOBUSY, my long time friend!
Mkuu umesoma MUCCoBS Mwaka gani ?Go Go MUCCOBUSY, my long time friend!
2005-2008Mkuu umesoma MUCCoBS Mwaka gani ?
Good news kunatofauti kubwa kati ya college na university
Umesoma kozi gani pale?2005-2008
Kinakuwa chuo Kikuyu kamili hivyo kinajitegemea na kuwa chuokikuu kamili! ,kiutendaji,n.kSo what?
BA-CMA. acc optionUmesoma kozi gani pale?
BA-CMA. acc option
sasa hvi uko wapi kimaisha?
On my way to where i wanted to be....hata hivo sijawahi kupata chance ya kujutia my choices!sasa hvi uko wapi kimaisha?
On my way to where i wanted to be....hata hivo sijawahi kupata chance ya kujutia my choices!
Division 2, SHYCOM(ECA).........I almost forget, on my way to where i wanted to be,...i have your sis for a wife and she bears nice bright kids too!matokeo yako ya form 6 yalikuaje?
So what?
Hongera mkuu kwa kuopt ACCOUNTING!-Kuna washkaji zangu wameenda Management option!-Wanasema Account option ngumu balaa! Vipi ushajaribu kupiga mitihani ya NBAA( CPA)?BA-CMA. acc option
So what?
Go Go MUCCOBUSY, my long time friend!
Mkuu umesoma MUCCoBS Mwaka gani ?
2005-2008
Umesoma kozi gani pale?
BA-CMA. acc option
sasa hvi uko wapi kimaisha?
?????????
On my way to where i wanted to be....hata hivo sijawahi kupata chance ya kujutia my choices!
matokeo yako ya form 6 yalikuaje?
Division 2, SHYCOM(ECA).........I almost forget, on my way to where i wanted to be,...i have your sis for a wife and she bears nice bright kids too!
nshajua kitaambo