Nilisoma mahali nafikiri ni kwenye internet ( sorry sikumbuki vizuri) ni kuwa vyombo vya usalama vya USA vili mu advice Mubarak right from the begining kuwa ili asiachie madaraka kwa aibu, wao wameandaa mpango ili apelekwe Germany kwa ajili ya kucheck malaria, na akiwa huko ndio atangaze kuachia nchi, nadhani huu ndio mwanzo wa kutekeleza ule mapngo, nikiwa na maana kuwa japo kuwa Mubarak amekwisha achia nchi kuna uwezekano mkubwa aka stay germany for long!