Mubarak in Germany for medical care after falling into a coma

A coma after living State House? Pale kwani ni kwake?? Huyu mzee angeachia madarka mara ya kwanza alipokwenda kutibiwa angelikuwa ni shujaa mkubwa sana leo duniani. Alitaka kuacha historia ya nzi kufia kwenye kidonda sasa imekula kwake.
 
Mubarak in life/death state in Germany hospital

photo_09.jpg

An earlier photo by MENA
We have learned through foreign sources that Hosni Mubarak was flown this morning to a Baden hospital in Germany after falling into a coma. The report was confirmed this morning by Bahrain daily Al Wasat who indicated that just prior to leaving for his resort in Sharm-el-Sheikh, Mubarak became comatose.

Apparently, prior to delivering his last speech on national Egyptian television, we also learned that Mubarak had fainted. This is the explanation given for the delay between the announcement of his anticipated speech and his actual appearance several hours later.

Continue reading on Examiner.com:
Mubarak in life/death state in Germany hospital - National Foreign Policy | Examiner.com
http://www.examiner.com/foreign-policy-in-national/mubarak-life-death-state-germ...
 
The report was confirmed this morning by Bahrain daily Al Wasat who indicated that just prior to leaving for his resort in Sharm-el-Sheikh, Mubarak became comatose.

hayo ni mawzo mazito na vitu ambavyo hakuvitegema maishani kwake.
It was like a nightmare to him.
Pole sana mzee,ukipata mda umpe taarifa na Ghadafi,CCM na wengine wote kuwa siku zao ni 40 tu
 
mkwere anaweza kuzimia hadaharani siku anafukuzwa ikulu...hahaaaa
 
Nilisoma mahali nafikiri ni kwenye internet ( sorry sikumbuki vizuri) ni kuwa vyombo vya usalama vya USA vili mu advice Mubarak right from the begining kuwa ili asiachie madaraka kwa aibu, wao wameandaa mpango ili apelekwe Germany kwa ajili ya kucheck malaria, na akiwa huko ndio atangaze kuachia nchi, nadhani huu ndio mwanzo wa kutekeleza ule mapngo, nikiwa na maana kuwa japo kuwa Mubarak amekwisha achia nchi kuna uwezekano mkubwa aka stay germany for long!
 
Primitive people do not want to accepte changes always. Sasa hapa kwetu sijui itakuwaje wakati hata watoto wamejisahau wanatembea na mabodiguards, HAYA IPO SIKU TUTASIKIA MENGI ZAIDI YA HAYA.
 
Back
Top Bottom