Wikiliki JF-Expert Member Joined Dec 20, 2010 Posts 528 Reaction score 141 Feb 10, 2011 #1 Rais wa misri anajiandaa kwenda Ujerumani kwa kile anachodai ni kwenda kuangalia afya yake. Wachunguzi wa mambo ya siasa wanasema kuwa hiyo ni janja ya kuondoka madarakani na kumwachia madaraka makamu wake. Source: BBC NEWS.
Rais wa misri anajiandaa kwenda Ujerumani kwa kile anachodai ni kwenda kuangalia afya yake. Wachunguzi wa mambo ya siasa wanasema kuwa hiyo ni janja ya kuondoka madarakani na kumwachia madaraka makamu wake. Source: BBC NEWS.
Babu Lao JF-Expert Member Joined Nov 2, 2010 Posts 2,042 Reaction score 180 Feb 10, 2011 #2 Asante, huyo kwishnei.... sasa yemen, bongo tujiandae!!:twitch:
drphone JF-Expert Member Joined Sep 29, 2009 Posts 3,542 Reaction score 295 Feb 10, 2011 #3 kwishnei uccheze na pipos power