Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,092
- 34,904
Moja kati ya madai aliyoyatoa mheshimiwa aliyekuwa makamu wa mwenyekiti ni kwamba mzee mtei anawachagulia viongozi hili ni suala serious kuzungumzwa na kiongozi mkubwa kama huyu kama lingezungumzwa mitaani ingekuwa hakuna haja ya kujibu lakini majibu yako yanaitajika katika hili.
kuhusiana na sababu zingine alizozitoa kuhusiana na kuhujumu wagombea na watu kushindwa kurudisha kadi ni suala la kiutendaji zaidi kuliko hujuma kwani alilalamikiwa na viongozi wenzake huko Rukwa na siyo makao makuu kwahiyo kuja kuwalalamikia wenzake makao makuu naona kama ilikuwa ni excuse zaidi ya kutaka anayoyataka mwenyewe labda kwa kutumiwa au sababu binafsi.
binafsi naamini aliyekuwa makamu wa mwenyekiti alikuwa na matatizo ya utendaji kwani sijawahi kusikia akiongea bungeni wala kusikia kaitisha mkutano wa chama mahala popote kujaribu kujenga chama kwahiyo ushauri wangu kwa chadema muwe makini katika uteuzi wenu mjitahidi kutumia record ya mtu ktk kukitumikia chama na siyo majina yao mtu kama alikuwa dormant wakati akiwa ni mwananchama wa kawaida msitegemee akichaguliwa ndio ataanza kuifanya kazi huko ni kujidanganya au mtafanya makosa kama haya ya arfi.
MANENO YA MTEI Kuhusu Arfi kujiuzulu
Akizungumzia akiwa nyumban kwake tengeru kuhusu hatua ya Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), Saidi Arfi kujiuzulu,
Mtei alisema kuwa inafaa kiongozi huyo ajitazame upya na kujisahihisha badala ya kuwa mlalamikaji kila siku.
"Aache kulalamika kwa sababu, wakati alipochaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti mimi nilisimamia uchaguzi. Kama alikuwa na ndoto kwamba siku moja atakuwa mwenyekiti wa Chadema taifa alipaswa kujichunguza kwanza," alisema.
"Naunga mkono uamuzi wote wa Kamati Kuu, kuwasimamisha na kuwavua uongozi Naibu Katibu Mkuu wetu Zitto Kabwe na Dk Kitila Mkumbo."
Source: Mwananchi
Mtei hata uzima wake hauna tija kwa chama huwezi kumwacha lema anapiga watu matofari kwenye vikao wala haambiwi kitu halafu anasema ndani ya chadema kunawasaliti huu ni uhuni na kuwabeba baadhi ya watu ndani ya chama mfano lema.Lema anapata kiburi cha kuropoka mitandaoni kwa sababu yeye ni kijana wa Mtei.
Mtei alikataa kushiriki kupigania uhuru, akakata kujitolea kuitumikia nchi katika kipindi kigumu na sasa anataka kuivuruga nchi kwa kupitia Chadema!!!
Ubinafsi mbaya sana...
Mtei hata uzima wake hauna tija kwa chama huwezi kumwacha lema anapiga watu matofari kwenye vikao wala haambiwi kitu halafu anasema ndani ya chadema kunawasaliti huu ni uhuni na kuwabeba baadhi ya watu ndani ya chama mfano lema.
Lema anapata kiburi cha kuropoka mitandaoni kwa sababu yeye ni kijana wa Mtei.
Mtei alikataa kushiriki kupigania uhuru, akakata kujitolea kuitumikia nchi katika kipindi kigumu na sasa anataka kuivuruga nchi kwa kupitia Chadema!!!
Ubinafsi mbaya sana...
Can you Prove? Au umeropoka tu story za udaku.
Vision ya chama kwa sasa ni nini sasa?hajazungumzia?
Mtei na Lema wanaongea lugha mojaMtei hata uzima wake hauna tija kwa chama huwezi kumwacha lema anapiga watu matofari kwenye vikao wala haambiwi kitu halafu anasema ndani ya chadema kunawasaliti huu ni uhuni na kuwabeba baadhi ya watu ndani ya chama mfano lema.
Huyu mzee na siasa ni mbali mbali sijawahi hata siku moja kumsikia akiongea la maana kuhusiana na siasa.
Wewe humfahamu MTEI,Endelea kuwa kuchi wa mtaani hapo ulaya,kama una uchungu na nchi hii usingezamiaLema anapata kiburi cha kuropoka mitandaoni kwa sababu yeye ni kijana wa Mtei.