Muasho baada ya kutoka Kuoga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Muasho baada ya kutoka Kuoga

Discussion in 'JF Doctor' started by Shinto, Feb 9, 2012.

 1. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #1
  Feb 9, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Wakuu, nina tatizo la mwili kuwasha baada ya kumaliza kuoga tu. Hili tatizo lilijitokeza kama miaka mitatu iliyopita likatoweka lenyewe, sasa naona limerudi tena.
  1. Je nini chanzo cha hii hali, ni maji ninayoogea?
  2. Ni sabauni ninazo tumia? Sina sabuni specific
  3. Ni maradhi ya ndani ya mwili
  4. Nini tiba yake?
   
 2. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #2
  Feb 9, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Siku mbili hizi nimefanya ka research kadogo kuhusu miwasho, nadhani hiyo yako inaweza kuwa inasababishwa na ngozi kuwa dry so ukitoka kuoga jipake mafuta fasta na pia ukijifuta na taulo usijisugue fanya kama una ji sponge kwa kugusia gusia kwenye mwili.
   
 3. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #3
  Feb 9, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  bwana we hata mi hili tatizo ninalo na linanikera sana na linanitokea nikioga maji baridi yani nawashwa naskia kero vby sana, lakini nikikoga maji moto siwashwi, nilichoamua kufanya ni kuweka maji yangu detol ya maji na kuyaogea sasa tatizo limepungua.
   
 4. doctorz

  doctorz JF-Expert Member

  #4
  Feb 9, 2012
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 907
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Muwasho baada ya kuoga yaweza kuwa ina sababishwa na maji unayotumia kuogea yana aina ya chumvi chumvi ambayo haipatani na ngozi yako. Hii ni kama unaogea maji ya kisima. Au inasababishwa na aina ya sabuni unayo ogea. Ngozi yako iko sensitive kwa hiyo ina react na ngozi yako na baada ya muda inpozwa na mafuta ya mwili. Pia inweza kuwa unatumia taulo damp ambayo haikauki vizuri toka uitumie mara ya mwisho. Vyote hivi vinahitaji uchunguze mwenyewe na take actions acordingly.
   
 5. NusuMutu

  NusuMutu JF-Expert Member

  #5
  Feb 9, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 423
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hebu fuatilia ushauri wa doctorz natumaini utakusaidia.lakin pia kunawatu wanatumia vitu vigumu kujisugua mwilini kama unafanya hivyo hebu acha na tumia kitambaa/taulo ndogo laini
   
 6. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #6
  Feb 9, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,541
  Likes Received: 423
  Trophy Points: 180
  Mimi nikioga na maji moto nawashwa kwa dk kama 15 alafu inaacha . Sijui hata nini ?
   
 7. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #7
  Feb 9, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ahsanteni wakuu, nitajaribu ushauri wenu
   
 8. I

  Ismaily JF-Expert Member

  #8
  Feb 9, 2012
  Joined: Jun 19, 2011
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Piga punyeto mzee hiyo hali itakwisha kabisa ya kuosha.
   
 9. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #9
  Feb 9, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,541
  Likes Received: 423
  Trophy Points: 180
  tumia akili basi hata kidogo hili sio jukwaa la utani.
   
 10. Bumpkin Billionare

  Bumpkin Billionare JF-Expert Member

  #10
  Feb 9, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 1,336
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kaka mambo ya kijinga hayo. Kwa sisi wengine huo mchezo wenu dini zetu haziruhusu
   
 11. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #11
  Feb 9, 2012
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 5,959
  Likes Received: 20,296
  Trophy Points: 280
  Doctorz, umesema vema sana, binafsi huwa nina tatizo hili na nitafuatilia ushauri wako
   
 12. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #12
  Feb 9, 2012
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 5,959
  Likes Received: 20,296
  Trophy Points: 280
  Style gani inafaa kwa hili zoezi lako!!!:embarassed2:
   
 13. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #13
  Feb 9, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,068
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  utakuwa unatumia sabuni ya magadi.
   
 14. Iron Lady

  Iron Lady JF-Expert Member

  #14
  Feb 10, 2012
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 4,079
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  maji hayo unayoyaoga yawezekana kabisa yakawa si masafi na kusababisha ngozi yako kureact.na maji yetu tuogayo si masafi kwa sababu water system zetu ni za zamani sana na kusababisha maji kuchafuka kabla ya kuwafikia watumiaji.
   
 15. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #15
  Feb 10, 2012
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  Doctorz umesema kweli, hiyo kuwashwa ni reaction ya mwili kwa alergy; yaani kunakuwa na aina ya chumvi kwenye maji ambazo mwili wako haukuzoea hivyo kuwasha, hakuna dawa ila jaribu kuchemsha maji ya kuoga kila inapowezekana vinginevyo ya baridi yatakuwasha lakini ukiyatumia muda mrefu taratibu mwili unazoea na hali hiyo inaisha.
   
 16. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #16
  Feb 10, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Kumbe siko peke yangu? Mie nawashwa baada ya kuoga haswa mikono na miguu!!
   
 17. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #17
  Feb 10, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  kulikuwa na ulazima wa kupost?
   
 18. Don Mangi

  Don Mangi JF-Expert Member

  #18
  Feb 12, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,206
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  sometimes pia ngozi ikipata rapid temperature change huwasha, mfano ulikua kwenye sehemu yenye AC na ghafla ukatoka nje kwenye jua kali ngozi huwasha sana, au ukitoka kwenye joto kali sana na ukaenda kuoga na maji baridi pia ngozi huwasha, despite tatizo la allergies pia hii nayo ni sababu, ngozi kuwa exposed to rapid temperature changes zile pores zinazohusika na kupitisha hewa zina 'shrink' kwa haraka na kusababisha hali ya muwasho wa ghafla.
   
 19. M

  MaMkubwa1 Member

  #19
  Feb 12, 2012
  Joined: Nov 2, 2011
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Pia jaribu kutumia sabuni 'gentle' na zenye mafuta .... kama DOVE (huu ni mfano tu bila shaka kuna aina nyingine. Check with your pharmacist)
   
 20. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #20
  Feb 13, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  yani wa2 kama wewe umu kwenye jukwa ha2waitaji by the way kwamwambie mama yako ivyo
   
Loading...