Kesho hamna kufunga. Funga inaanza jumanne tukijaaliwa.Assalam Aleykum.
Ningependa kuwafikishieni Waislam na Waumin wote kua Mwezi umeandama na kuonekana huko Kenya ktk Kaunti ya LAMU maeneo ya Hola,Mikinduni..na kuthibitishwa na Kadhi mkuu wa Kenya,hivyo basi kesho Insha Allah ni swaum ya kwanza ya Mwezi mtukufu wa Ramadan
Wabbillahi Tawfiq
Source:Radio Rahma Kenya
Ndiyo, mapumziko ya kula mchana kwa siku 28 mkuu. Karibu kwenye mapumziko.Kwahiyo ni mapumziko..?