Mkuu Tuko pazuri mno.Kitendo cha Watanzania wote kwa ujumla wao kuungana kwa Pamoja bila kujali Vyama wala Itikadi tena kwa nguvu na morale ya Ajabu ni moja ya Jambo la ki Historia katika Nchi Yetu. Wanamageuzi na Wanamabadiliko wote Huu ni mwanzo mzuri mnoooo kufikia nchi ya Ahadi!!!
Bila kujali Vyama vyenu Huu ni muda muafaka wa nyie Kuanzisha Jambo kubwa la Faida!!!
Suala la Watu kufanya Fundraising ya kasi kwa muda mfupi ni kielelezo tosha Watanzania wanetulia kimwili ila mioyoni wana maumivu makubwa!!
U N G A N E N I Kumbe mkiweka msingi mzuri Asubuhi mnatuondokea Hawa Jamaa.
Hahahahahaha ogopa nguvu ya umma, naona nzi wa kijani wanaona aibuTayari mkuu, wamedhaminiwa usiku usiku Mpaka tukashangaa
Andaa tu mzee, wapo nje ila andaa kwa jambo kubwa la nguvu ya mungu uchange huku familia yako inakufa njaa.
Mkuu hakuna la kujipongeza,sio reconciliation.Toka lini mshtakiwa analipiwa faini na alie fungua mashaka yaani CCM na taasisi ya Uraisi?Kitendo cha Watanzania wote kwa ujumla wao kuungana kwa Pamoja bila kujali Vyama wala Itikadi tena kwa nguvu na morale ya Ajabu ni moja ya Jambo la ki Historia katika Nchi Yetu. Wanamageuzi na Wanamabadiliko wote Huu ni mwanzo mzuri mnoooo kufikia nchi ya Ahadi!!!
Bila kujali Vyama vyenu Huu ni muda muafaka wa nyie Kuanzisha Jambo kubwa la Faida!!!
Suala la Watu kufanya Fundraising ya kasi kwa muda mfupi ni kielelezo tosha Watanzania wanetulia kimwili ila mioyoni wana maumivu makubwa!!
U N G A N E N I Kumbe mkiweka msingi mzuri Asubuhi mnatuondokea Hawa Jamaa.
Kitendo cha Watanzania wote kwa ujumla wao kuungana kwa Pamoja bila kujali Vyama wala Itikadi tena kwa nguvu na morale ya Ajabu ni moja ya Jambo la ki Historia katika Nchi Yetu. Wanamageuzi na Wanamabadiliko wote Huu ni mwanzo mzuri mnoooo kufikia nchi ya Ahadi!!!
Bila kujali Vyama vyenu Huu ni muda muafaka wa nyie Kuanzisha Jambo kubwa la Faida!!!
Suala la Watu kufanya Fundraising ya kasi kwa muda mfupi ni kielelezo tosha Watanzania wanetulia kimwili ila mioyoni wana maumivu makubwa!!
U N G A N E N I Kumbe mkiweka msingi mzuri Asubuhi mnatuondokea Hawa Jamaa.
Inaonekana wew bwana Chakubanga umeumia sana kuona wananchi tukichanga na utaendelea kuumia. Hii nchi sio ya urithi wa baba zenu ni watu wote tunazo haki sawa na hatupo tayari kuona kikundi cha watu wachache kuzuia haki za raia mwingine.
Mkuu hakuna la kujipongeza,sio reconciliation.Toka lini mshtakiwa analipiwa faini na alie fungua mashaka yaani CCM na taasisi ya Uraisi?
Kitu muhimu hasa kwa Chadema badirisha muelekeo vinginevyo mtarudishwa mahabusi,serikali haipo tiyari kuvumila au kuheshimu siasa za upinzani.Imegeuka mzunguko wa kuchagia pesa pasipo faida.
Mahakama,jela,faini,mahabusu,polisi,virungu, mabomu ya machozi imegeuka INTIFADA.
Neno "watanzania wote" unamaanisha nini hapo.Kitendo cha Watanzania wote kwa ujumla wao kuungana kwa Pamoja bila kujali Vyama wala Itikadi tena kwa nguvu na morale ya Ajabu ni moja ya Jambo la ki Historia katika Nchi Yetu. Wanamageuzi na Wanamabadiliko wote Huu ni mwanzo mzuri mnoooo kufikia nchi ya Ahadi!!!
Bila kujali Vyama vyenu Huu ni muda muafaka wa nyie Kuanzisha Jambo kubwa la Faida!!!
Suala la Watu kufanya Fundraising ya kasi kwa muda mfupi ni kielelezo tosha Watanzania wanetulia kimwili ila mioyoni wana maumivu makubwa!!
U N G A N E N I Kumbe mkiweka msingi mzuri Asubuhi mnatuondokea Hawa Jamaa.
Lengo kuu ni kukomoa watu.Naishauri mahakama ijikite kupiga watu fines zaidi kwenye hukumu kuliko vifungo ili kuepuka msongamano magerezani na pia kiwe chanzo mahsusi cha mapato.