Muamala wa Lowassa hatarini

Waandishi wetu wajifunze kufanya kazi kwa weledi. Kuhongwa hongwa kunawafanya wakumbatie mafisadi

unakurupuka tu kujibu uzi usio hata na source!Kiwanda cha uongo na uzushi katika ubora wake,mbinu hii haiwasaidii,mnaanzisha uongo na kujichekesha wenyewe!
No body smart can fall into these kind of shits,cheap lie!Only a fool can buy this!Na ndio hao ambao wamekuwa mtaji wa ccm kwa muda mrefu,ila mwaka huu wamesema nooooooo!
Hawadanganyiki so kajipangeni upya,unaandika lakini!
 
Acha uongo....Team Lowassa hawaliilii.Yeye mwenyewe [Lowassa] hataki wanaolialia ie.wanaolalamikalalamika.After all what I know is he plans before implementing. Sio rahisi kihivyo...mzee ana akili huyo
 
Asraji mvungi ndio kapiga dili la ukweli
 
Inabidi kuwe na Sheria jitu likivuta bangi lisiruhusiwe kuingia jf
 

Dada una wivu duuuhh. Huna mume?
 
Acha wazitafune na urais atausikia kwenye bomba.
 
Hadithi yako imeishia hapo au inaendelea? Au ndio unajifunza kutunga hadithi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…