Muafaka CDM Arusha kama CUF ZBar? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Muafaka CDM Arusha kama CUF ZBar?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Sundi, Jun 21, 2011.

 1. S

  Sundi Member

  #1
  Jun 21, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 90
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wadau Salam.Naomba mawazo yenu wakuu. Muafaka uliofikiwa kati ya CDM na CCM Arusha Unaweza kufananishwa na makubaliano yaliyofikiwa Zanzibar kati ya CCM na CUF?

  Matokeo ya huu Muafaka si utakuwa kudhoofisha sera za CDM na hivyo si kwa maslahi ya CDM? ..
   
 2. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #2
  Jun 21, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,634
  Likes Received: 4,738
  Trophy Points: 280
  Umeingia leo leo kwa ajili hii tu au una lingine?
   
 3. M

  Mkali wa Leo Member

  #3
  Jun 21, 2011
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 84
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  cdm wataishia km cuf we ngoja na km cvyo basi hawatopata urais kamwe
   
 4. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #4
  Jun 21, 2011
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  Yote yanafanwa kwa ajili ya maslahi na ustawi wa jamii na wakazi wa Arusha.

  Kinachotakiwa na wananchi ni amani na maendeleo na si vinginevyo.

  Lets hope for the best kwa huo muafaka
   
Loading...