Dk Slaa alikiri kupokea barua ya msajili iliyowajulisha uwepo wa kamati vya vyama hivyo kutafuta ufumbuzi wa mgogoro wa umeya Arusha na kuteua wajumbe watakaoshiriki kutoka chama chake.
Kwa upande wa CCM, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nnape Nnauye, alikataa kuzungumzia suala hilo akisema kuwa hayo ni majungu. Hayo ni majungu, alisema Nnauye alipotaka kujua kama Tendwa amethibitisha kwa kinywa chake kuhusu muafaka huo.
Nape anaposema hayo ni majungu ana maana gani kama si ujinga ni nini anataka kujifanya yeye anajua sana which is not true.Naomba msome tena hizo commentz za CHADEMA & CCM. Huwezi kuongoza watu bila kuwaanmbia unafanya nini! Watu wanataka wajue una mipango gani, umefikia wapi. Hapa, CHADEMA wanaonekana kufaya vyema kwa kusema nini wanafanya, Katibu mkuu wao Dr Slaa anakiri kuwa kuna jitihada zinafanywa ili kusuluhisha mgogoro wa Arusha.
Kama kawaida CCM wanakanusha! Nape anaenda mbali zaidi na kusema hizi habari niz uzushi! Sasa hata kwenye mambo ambayo yako so obvious wanakataa, je, wananchi wawaamini kwa lipi? Kama Nape anatakataa kutoa taarifa umma ukizusha watalalamika? Kwa zama hizi za science & technology ni vigumu sana kuficha habari, na Nape & wenzake wanatakiwa wajue kama wao ccm hawataengea basi watu wengine wataongea but tena at the expense ya ccm! sikio la kufa...!
ccm waoga kama kunguru, hayo majina ya timu ya cdm yamewatisha.
Jogi na wenzako,
KWANZA NI VIZURI SANA KULIJUA TATIZO LA ARUSHA BILA USHABIKI WA KISIASA. HIVI NINI SABABU YA CCM NA CHADEMA KUKAA MEZANI HASA KWA VIONGOZI WA KITAIFA.. UGOMVI ULIOPO NI KATI YA CHADEMA NA MADIWANI WAKE WA ARUSHA....CCM INAINGIAJE HAPA?
NANI ASIYEJUA KUWA MKAKATI WA VIONGOZI WA CHADEMA TAIFA NI KUTUMIA MGOGORO HUU WA ARUSHA KUMALIZA KESI INAYOWAKABILI, HASA BAADA YA KUONA KUWA IMEWAKALIA VIBAYA? HILI LAO CCM HATUMO.
TUNAJUA MEYA KACHAGULIWA KIHALALI NA MANISPAA INAENDELEA KUJENGWA, IKIZINGATIWA KUWA ILANI INAYOTEKELEZWA NI YETU , HATUNA MUDA WA KUJADILI WALA KULUMBANA KWA MIGOGORO ISIYOTUHUSU...TUNASUBIRI HIZO SIKU 30 ZA WATANI ZANGU...
TUMETHUBUTU, TUMEWEZA NA TUNASONGA MBELE.

Kwa upande wa CCM, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nnape Nnauye, alikataa kuzungumzia suala hilo akisema kuwa hayo ni majungu. "Hayo ni majungu,"
Jogi na wenzako,
KWANZA NI VIZURI SANA KULIJUA TATIZO LA ARUSHA BILA USHABIKI WA KISIASA. HIVI NINI SABABU YA CCM NA CHADEMA KUKAA MEZANI HASA KWA VIONGOZI WA KITAIFA.. UGOMVI ULIOPO NI KATI YA CHADEMA NA MADIWANI WAKE WA ARUSHA....CCM INAINGIAJE HAPA?
NANI ASIYEJUA KUWA MKAKATI WA VIONGOZI WA CHADEMA TAIFA NI KUTUMIA MGOGORO HUU WA ARUSHA KUMALIZA KESI INAYOWAKABILI, HASA BAADA YA KUONA KUWA IMEWAKALIA VIBAYA? HILI LAO CCM HATUMO.
TUNAJUA MEYA KACHAGULIWA KIHALALI NA MANISPAA INAENDELEA KUJENGWA, IKIZINGATIWA KUWA ILANI INAYOTEKELEZWA NI YETU , HATUNA MUDA WA KUJADILI WALA KULUMBANA KWA MIGOGORO ISIYOTUHUSU...TUNASUBIRI HIZO SIKU 30 ZA WATANI ZANGU...
TUMETHUBUTU, TUMEWEZA NA TUNASONGA MBELE.
Nape,
Naona unaishi ahera.
i) kwa kauli hii ni dhahiri kuwa hujui mgogoro ulioko ni arusha unahusu nini. Chadema haina mgogoro na madiwani wake kwani iliisha kuwafukuza uanachama. Ni mtu asiyejua taratibu za sheria tu ndiye anaweza kutoa kauli kama ya kwako, au vinginevyo una agenda ambayo ni vyema ukaiweka hadharani
ii) Kesi cr/c. 5/2011 iliyoko High Court ya Arusha haina uhusiano na Madiwani bali ni kesi ya "unlawfull Assembly". Kesi iliyofunguliwa na Madiwani 5 ambayo hadi sasa sina namba yake inahusu "madiwani watano kuiomba Mahakama iwarudishie Uanachama wao". Hivyo hata wao wanajua kuwa wamevuliwa uanachama. Upotoshwaji wa aina hii ni wa ajabu, lakini tunaelewa kwa magamba hakuna lisilowezekana.
Mimi sijaelewa hapa, maelezo ya Nape ni kuwa mgogoro kama upo basi unahusisha, CDM, Mahakama, Madiwani waliokuwa wa CDM na mkurugenzi sasa hapa CCM inaingia vipi? Ulipotakiwa kujibu ulipaswa na wewe uache dharau na uoneshe CCM inahusika vipi. Hayo majadiliano kwa nini yawahusishe CCM wakati wao hawahusiki kwenye huo mgogoro?
Jogi na wenzako,
KWANZA NI VIZURI SANA KULIJUA TATIZO LA ARUSHA BILA USHABIKI WA KISIASA. HIVI NINI SABABU YA CCM NA CHADEMA KUKAA MEZANI HASA KWA VIONGOZI WA KITAIFA.. UGOMVI ULIOPO NI KATI YA CHADEMA NA MADIWANI WAKE WA ARUSHA....CCM INAINGIAJE HAPA?
NANI ASIYEJUA KUWA MKAKATI WA VIONGOZI WA CHADEMA TAIFA NI KUTUMIA MGOGORO HUU WA ARUSHA KUMALIZA KESI INAYOWAKABILI, HASA BAADA YA KUONA KUWA IMEWAKALIA VIBAYA? HILI LAO CCM HATUMO.
TUNAJUA MEYA KACHAGULIWA KIHALALI NA MANISPAA INAENDELEA KUJENGWA, IKIZINGATIWA KUWA ILANI INAYOTEKELEZWA NI YETU , HATUNA MUDA WA KUJADILI WALA KULUMBANA KWA MIGOGORO ISIYOTUHUSU...TUNASUBIRI HIZO SIKU 30 ZA WATANI ZANGU...
TUMETHUBUTU, TUMEWEZA NA TUNASONGA MBELE.
Nape,
Naona unaishi ahera.
i) kwa kauli hii ni dhahiri kuwa hujui mgogoro ulioko ni arusha unahusu nini. Chadema haina mgogoro na madiwani wake kwani iliisha kuwafukuza uanachama. Ni mtu asiyejua taratibu za sheria tu ndiye anaweza kutoa kauli kama ya kwako, au vinginevyo una agenda ambayo ni vyema ukaiweka hadharani
ii) Kesi cr/c. 5/2011 iliyoko High Court ya Arusha haina uhusiano na Madiwani bali ni kesi ya "unlawfull Assembly". Kesi iliyofunguliwa na Madiwani 5 ambayo hadi sasa sina namba yake inahusu "madiwani watano kuiomba Mahakama iwarudishie Uanachama wao". Hivyo hata wao wanajua kuwa wamevuliwa uanachama. Upotoshwaji wa aina hii ni wa ajabu, lakini tunaelewa kwa magamba hakuna lisilowezekana.
Asante Dr. kwa ufafanuzi,Nape,