APPROXIMATELY
JF-Expert Member
- Aug 10, 2021
- 2,035
- 2,739
KWELI NDUGUKwakweli tunatakiwa kushkuru
Mkuu struggle man huko sahihi kabisa. Kuna mahali unafiki a ni nguvu tu kutoka juu ndo msaada pekee uliobakia. Unajikita kama mikono yote na miguu imekataa. Hali hii imeshanitokeaga. Pumzi na afya njema mtu unayo ni jambo la kushukuru.Kwakweli tunatakiwa kushkuru
Kwakweli tunatakiwa kushkuru
Huyo ndo mnamuita perfect being?KWELI NDUGU
Kama huyo mzee ana miaka around 80-90 yuko hivyo wewe jiulize anapata wapi chakula cha kila siku,malaika wapo tunaishi nao mtaani wengine tunawadharau kwa hali walionayo,kitu nilichokataaga kwenye maisha yangu sitakuja kumdharau mtu yeyote hata kama amezaliwa leoMkuu struggle man huko sahihi kabisa. Kuna mahali unafiki a ni nguvu tu kutoka juu ndo msaada pekee uliobakia. Unajikita kama mikono yote na miguu imekataa. Hali hii imeshanitokeaga. Pumzi na afya njema mtu unayo ni jambo la kushukuru.
Huyo ndo mnamuita perfect being?
Whats wrong with guys?
Watu mliokata tamaa na rehma za mola jambo ambalo hatutakiwi tuwe nalo, hapana kukata tamaa mpaka pumzi yako yamwisho kwani kuna wengine wako na hali mabaya kuliko wwMkuu struggle man huko sahihi kabisa. Kuna mahali unafiki a ni nguvu tu kutoka juu ndo msaada pekee uliobakia. Unajikita kama mikono yote na miguu imekataa. Hali hii imeshanitokeaga. Pumzi na afya njema mtu unayo ni jambo la kushukuru.