Umeona eeAsante mjeda.... Kumwacha aende ni ukomavu wa akili na ni busara pia...
Halafu ulitoroka lindo mkuu...
Lindo lilikuwa gumu sana. .....Halafu ulitoroka lindo mkuu...
Najua mjeda Sema siku hiziiii watu wanalialia hovyo..
Hii ya kumwacha aende huwa ngumu sana kwa wengi, na inauma mnoo.... Ukiiweza basi jua umekomaa kiakili na uko na busaraLindo lilikuwa gumu sana. .....
Kuliliana kama vile yuko pekee wakat wapo weng tu tena wenye mapenz ya dhat
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]sasa kama hataki utamlazimisha? Utazidi kumng'ang'ania wakat hupendwi?Hii ya kumwacha aende huwa ngumu sana kwa wengi, na inauma mnoo.... Ukiiweza basi jua umekomaa kiakili na uko na busara
We hujawahi ona humu ndani wakiomba muongozo eeehh[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]sasa kama hataki utamlazimisha? Utazidi kumng'ang'ania wakat hupendwi?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]We hujawahi ona humu ndani wakiomba muongozo eeehh
Mmh.... Ni sawa ila pia inategemea na kifaa gani alichotumia kukumaliza....sina hamu .....Naomba niwe kinyume
Kumuacha aende ni moja ya udhaifu mkubwa ktk mahusiano
Kumuacha aende sio tiba ya kidonda is just a cover
Utaishi Na sononeko all you're life and you will die lonely!
Pili utamtesa tu Wa pili maana real love itabaki kwa the first love kwake uta pretend tu!
If wote wange let go ndoa Na mahusiano wanao celebrate 20 or 50 anniversary wasingekuwepo!
In love kuna ups and down!
So unaweza ukadhani hakupendi kumbe..
Love heroes! And heroines fight for their love and they're able and ready to pay the price for their love
DJ sepetu
Umesema sawa ila si kwa hawa binadamu wa sasa...Naomba niwe kinyume
Kumuacha aende ni moja ya udhaifu mkubwa ktk mahusiano
Kumuacha aende sio tiba ya kidonda is just a cover
Utaishi Na sononeko all you're life and you will die lonely!
Pili utamtesa tu Wa pili maana real love itabaki kwa the first love kwake uta pretend tu!
If wote wange let go ndoa Na mahusiano wanao celebrate 20 or 50 anniversary wasingekuwepo!
In love kuna ups and down!
So unaweza ukadhani hakupendi kumbe..
Love heroes! And heroines fight for their love and they're able and ready to pay the price for their love
DJ sepetu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Umesema sawa ila si kwa hawa binadamu wa sasa...
Hivi umeshawahi kupenda kweli then ukaumizwa ?
Kiasi moyo ukawa radhi kupigania lakini akili inakataa..?! usiombe...
Sent using Jamii Forums mobile app