I know Mtwara very well u macka faka.And I know Wanamtwara very well and not u dog!...fuc-k u..!
Don't think that everyone is interested with the stupidity of bodabodas.
They are always demanding nonsense.
Go to hell u kokroch of Mtwara.
Fuk.
Mikoa ya pembezon unamaanisha Dar, Tanga,Arusha, Mbeya na ipi mingine?
Sasa unaona hilo sio kosa?
#Sinziga na uelewa wake mdogo anashabikia eti wanaonewa!
Kwani sheria inasemaje kuhusu kuvaa helmet kwa muendesha pikipiki?
Wamakonde wabishi sana na sio waelewa,mtailalamikia hiyo mnayoiita Policcm hadi mshike adabu.
Tii sheria kwa upande wako kwanza halafu uone nani atakusumbua.
Siku Police anataka akupige faini eti kwa kuwa umevaa helmet au unatembea na leseni yako mfukoni njoo utuambie.
Yatafanyiwa kazi malalamiko yako na sio kuja kuleta umburula hapa.
Mkuu uliona wapi mtu yupo petrol stationtena anawekan mafuta ynakuja kumkamata eti hana helmet? Ndo sheria za usalama zinavyosema?
Hii mipolisi hata sheria haizijui
He! makubwa.
Unataka kutuaminisha kuwa unawafaham wana mtwara na mtwara zaidi ya unavyowafaham mama yako na baba yako? Hongera sn.
Polisi jamii inaingilia sana kazi ya Polisi usalama barabarani...inakuaaje pikipiki umeipaki sehemu halafu polisi anakuja kukukamata? Something wrong somewhere! !Ni kweli na hii ilianza baada ya polisi kumkamata dereva bodaboda leo asubuhi akiwa sheli maeneo ya Bima wakati akijaza mafuta na sababu ikiwa eti hajavaa helmet . Baada ya hapo hali ilitibuka kwa kiasi kikubwa huku mji mzima ukiwa umejaa wasiwasi hasa baada ya mabomu ya machozi kuanza kurushwa ovyo na hawa Policcm
Mtwara ndio wapi huko?
Sasa wewe hapo unajiona unazijuuuuuuua...!?
Unadhani watu woooote wana akili ndogo kama zako na za madereva bodaboda wenzako?
Kweli we ni shida aisee...hata pikipiki ikiwa imepaki kwa fundi ikisubiri matengenezo utaenda kuikamata eti haina breki au dereva wake hana helmet. ..
Sishangai koo za panya, Mtwara unayoifahamu wewe sio hii ya leo. Stuka.
Kwanini........?
Mtwara ndio wapi huko?
Wala hamna kitu,.nlikuwa nashangaa tu. Mwenzio me mgeni hapa mjini basi ushamba bado haujanitoka.
Na itafikia waanze kudai mamlaka kamili!
Sasa sheli wanakaza breki?
Stop..!wewe ni mmakonde?
Nisije nikavuja jasho kumuelekeza mmakonde.!
We kweli ni wanyama dyaki...
Polisi wapuuzi sana watamkamataje mtu yuko sheli anaweka mafuta kisa hakuvaa helment. Kwani hapo alikuwa barabarani? Siku zote polisi ni waonevu tu.