Nawapenda wamakonde wana misimamo isiyoyumba no matter how wrong or right they may be..!
Nawapenda wamakonde wana misimamo isiyoyumba no matter how wrong or right they may be..!
Wajinga sana hawa madere a bodaboda.
Wanadhani tz nzima shughuli zetu ni kuendesha bodaboda tu.
Wapigwe tuu.
Sasa ishu ni bodaboda kila kona eh?
Acha ufala ww unadhani kila mtu anapenda kunyanyaswa bila sababu na serkalyako batili hiyo ccm...
Hata punda akichoka anamgomea bwana wake. Amka ww usiwe na mawazo mgando. Mnaboa sana nyie watu.
Mtwara kuchafu siku zote!
hivi gesi imeshafika dar?
Mmmmmmmh! kazi ipo, hv ulisoma shule gani vile!!!Mtwara kuchafu siku zote!