Bibi wa MTWARA alikuwa anasumbuliwa na tumbo.
Majuzi akaenda Hosptal. Dk. akampima akamwambia
"TUMBO LIMEJAA GESI utafanyiwa upasuaji Dar".
Bibi ghafla akatoka mbio akipiga mayowe; Hii gesi
yangu natafuta mwekezaji mwenyewe, haipelekwi
Dar ng'o, Mungu ametujalia wana Ntwala, Gesi baharini hadi matumboni!