gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,491
- 18,027
Dish na antenna vitakuwepo mpaka kizazi cha 1980 kiondoke, najua kuangalia habari na entertainment kupitia simu,ila sifurahii kama kuangalia kupitia TV na kwa ujinga wa network,siwezi tegemea internet kuangalia arsenal na yangaInamaanisha content zitakuwa zinapatikana online through streaming and other means. Ndio maana kuna smart tv siku hizi. Mambo ya dish na antena yanaenda kufa.
Sasa mbona DSTV inaendelea kuondoa contents muhimuCNN Dstv wanaiondoa 31st December 2025.
Hapana.Hilo li screen la 80’’ litabaki kuwa fenicha tu
Hata sielewi sababu ni nini.Sasa mbona DSTV inaendelea kuondoa contents muhimu
Jibu nililolipata ni hili:Hata sielewi sababu ni nini.
Kama mimi hata movie siangaliagiMimi tv na Simu nachagua simu.
Naweza nikawasha tv ila nikawa nachezea simu.siwezi kuangalia tv.
Mkuu bado unachanganya hizi ishu. Paramount imeshauzwa. Vita iliyopo kati yq Netflix na Skydance ni kununua Warner Discovery na CNN iko chini ya Warner Discovery na sio Paramount.Offer ya Netflix kubwa na haihusishi media zingine kama CNN,wao wanataka Paramount tu vingine wawaachie pamoja na franchise za movies,ila trump na genge lake ndiyo wanataka inunua Warner brothers yote ikiwemo CNN Ili akomeshe viranga, maana haipendi CNN
"Tena kwa ukubwa wake" ( bila ku editiwa na akina msigwa au kutoka kwa maelekezo ya tcra)Kwasasa TV ni almost zimekufa.. China TV hazina dili tena! Hata hapa kwetu hebu angalia mfano taarifa za habari.. Yaani unakuwa umeshapata kila kitu kwenye simu tena kwa ukubwa wake
DSTV wametangaza kuendelea kuonesha CNN ns channels nyingine ambazo walitangaza kuwa wangesitisha 1/1/26CNN Dstv wanaiondoa 31st December 2025.