Mtunzi wa Nyimbo mbalimbali

Mtunzi wa Nyimbo mbalimbali

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,758
Reaction score
9,592
Habarini

Mimi ni mtunzi wa nyimbo mbalimbali ziwe za kitamaduni, kidini, kitaaluma au ziwe za kupigwa
kwenye hafla mbalimbali kama wewe unahitaji kutungiwa wimbo wowote kwenye sherehe,
au maadhimisho, au kwenye show yako niko tayari kukutungia wimbo wa kimaadili na kunilipa
kwa huo wimbo nitakaokutungia uwe kwa mtindo wa Reggae, Zuku, R&B, Zulu, Hip hop, Rhumba
na zinginezo unakaribishwa sana karibu niPM tutawasiliana zaidi
 
Nilisahau hata katika biashara yako unataka kuuimbiwa wimbo wa kutangaza biashara yako
niko tayari au umetoa kipindi chako kwenye TV talk show unataka utungiwe au uimbiwe wimbo maalum
unaohusu kipindi chako hicho niko tayari kwa mapatano niPM Tuwasiliane kwa simu
 
Nikifa uje uniimbie, ntakulipa tukikutana paradiso.
 
Nilisahau hata katika biashara yako unataka kuuimbiwa wimbo wa kutangaza biashara yako
niko tayari au umetoa kipindi chako kwenye TV talk show unataka utungiwe au uimbiwe wimbo maalum
unaohusu kipindi chako hicho niko tayari kwa mapatano niPM Tuwasiliane kwa simu

Je unaweza pia kunitungia nyimbo za lugha ya kiingereza?
 
Hiz nyimbo unatunga na ku arrange au ndo zile sauti tu ikija.
Una taaluma ya muziki unaweza ku compose note?
Na Kumfundisha mtu kwa kufuata kanuni za muziki?
Au ndo uzoefu kwanza?
 
Hata wewe kama unataka nikutungie wimbo wa kwenda kumuoza bintiyo upareni
nitakutungia pia, na kama una tamthilia umeianzisha unataka nikuwekee beat ninafanya
uwanja ni wako karibu
hapo chacha..!
 
Nina taaluma ya mziki naweza ku-compose note na
vilevile ni mzoefu wa muziki na mwimbaji pia
karibu kama unataka kufaniyiwa hivyo

Hiz nyimbo unatunga na ku arrange au ndo zile sauti tu ikija.
Una taaluma ya muziki unaweza ku compose note?
Na Kumfundisha mtu kwa kufuata kanuni za muziki?
Au ndo uzoefu kwanza?
 
Hata wewe kama unataka nikutungie wimbo wa kwenda kumuoza bintiyo upareni
nitakutungia pia, na kama una tamthilia umeianzisha unataka nikuwekee beat ninafanya
uwanja ni wako karibu

Mie itabidi unitungie wa bongoflava mzuri kama ngolololo nipige bao kama Daimondo plates... Naona yeye kila siku anabadili vimwana kama sisi wengine hatupo.:biggrin1::biggrin1:
 
Haaaa kumbe ni hivyo tu ondoa shaka unautaka lini ili nianze kutunga sasa?
halafu unipm ili tuongee charge ya huo wimbo wako
je unahusu nini hasa unachotaka kiitungwe au kiimbwe azaidi?
Mie itabidi unitungie wa bongoflava mzuri kama ngolololo nipige bao kama Daimondo plates... Naona yeye kila siku anabadili vimwana kama sisi wengine hatupo.:biggrin1::biggrin1:
 
Hiz nyimbo unatunga na ku arrange au ndo zile sauti tu ikija.
Una taaluma ya muziki unaweza ku compose note?
Na Kumfundisha mtu kwa kufuata kanuni za muziki?
Au ndo uzoefu kwanza?

mkuu Dumelang nilitaka kuuliza amswali hayo hayo, sina sababu hiyo sasa
 
Last edited by a moderator:
Ahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa 🙂

Back
Top Bottom