huyu mwandishi wa hii tread hanisi alikuwa na madhumuni mengine ya kuandika sio kuleta habari ya msiba
huyu mwandishi wa hii tread hanisi alikuwa na madhumuni mengine ya kuandika sio kuleta habari ya msiba
huyu mwandishi wa hii tread hanisi alikuwa na madhumuni mengine ya kuandika sio kuleta habari ya msiba
hebu rudia kusoma vizuri!! nimetoa mawazo yangu as great thinkerSasa kama wewe umemtukana hivi mwenzio, unapataje moral authority ya kumlaumu mleta maada (hata kama ni kweli kakosea)?
Sasa kama wewe umemtukana hivi mwenzio, unapataje moral authority ya kumlaumu mleta maada (hata kama ni kweli kakosea)?
Mkuu Nduka Original
Kama Mama Lucy alikuwa bado hajastaafu basi huo ni udhaifu mkubwa wa wizara ya utumishi hasa ikizingatiwa muda alioanza kuuguwa na umri halisi.
Mimi nawafahamu watoto wawili tu huyu mwingine sijui kaibukia wapi.
[1] Lipina Macdonald Lemunge
[2] Mkami John Malecela.
Kikao cha mazishi kinafanyika nyumbani kwa Marehemu Haile Selesie Road na si Albero Club.
hebu rudia kusoma vizuri!! nimetoa mawazo yangu as great thinker
Wewe mtu ni mpuuzi sana, hivi umeleta habari za msiba au masihara. Pili wala huna data. Mama Lucy alikuwa bado hajastaafu alikuwa yuko nyumbani muda mrefu akiugua kansa ya koo. Pia huyu mama ana watoto watatu na siyo wawili.
Ukweli ni kwamba mama yetu amepumzika na mazishi yatafanyika siku ya juma tano makaburi ya Njiro ibada ita anza saa 6 mchana. Mheshimiwa Raisi pia atakuwepo kwenye mazishi.
Habari za Malecela sizani kaba zina essence yoyote katika hili swala. PUMBAVU WEWE.
Tutakutana kwenye kikao mchana huu Albero Club