Mtungi wa ORYX GAS unahitajika.

Mtungi wa ORYX GAS unahitajika.

Mwana Ilala

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2013
Posts
1,286
Reaction score
488
Hallo.

Ndo kwanza nmeanza maisha. Nnaomba kwa yoyote ambaye mwenye Mtungi wa Oryx na hautumii kabisa, basi naomba tufanye biashara.

Badger yangu ni :-

Tsh:- 40,000/- Cash.

Deal done
 
Nenda kanunue tu mwenyew kwe filling station mkuu
 
Hallo.

Ndo kwanza nmeanza maisha. Nnaomba kwa yoyote ambaye mwenye Mtungi wa Oryx na hautumii kabisa, basi naomba tufanye biashara.

Badger yangu ni :-

Tsh:- 40,000/- Cash.

Mawasiliano.
Call: 0715 240 140.

Leta 50,000 nkupe! !
 
Back
Top Bottom