Habari zenu mabibi na mabwana.
Kama ilivyo ada napenda kuposti vya manaa siku ya ijumaa maana ndo weekend tunaianza.
Leo katika pita pita zangu wakuu, nikakutana na wazee wa umri mkubwa kidogo nadhani ni wasitaafu kwa kuwaangalia muonekano wao.
Wakawa wamekaa na kupeana habari zao kwamba toka wamezaliwa hawajawahi kushuhudia timu yoyote ya Tanzania ikifanya vizuri zaidi ya timu hii ya Yanga na hivyo wakapongezana huku wakisema hawajutii kuzeeka sasa maana hitaji lao la kushuhudia fainali kubwa limetimia.
Sasa wakati nataka kuondoka mzee mmoja akatoa kauli iliyonipa nguvu ya kushare nanyi
Pesa ndiye mtumishi mwaminifu duniani, ukimwambia unataka kwenda popote ukiwa nae atakupa sapoti, ukitaka kula chochote atakupa kampani. Kila kitu huyu mtumishi atakupa sharti tu kuwa nae.
Tutafute pesa ili huyu rafiki asiwe mbishi kwetu.
Weekend njema.