chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,961
vinalipwa hela ndogo sana, unakuta mtu anayaona mamilioni ya pesa daily afu ye analipwa laki 7Hivi vistaff vya benki vina tamaa hataree
kwa hiyo wewe unamuamini sana huyo MaxStealing is a part of raising capital...
kamsome Karl Max kwenye kitabu cha DAS CAPITAL....
Wanatamani kusukuma matako ya nyani wangali vijanaHapo majuzi alikamatwa mfanyakazi CRDB, Leo EXIM, hawa vijana si wafanye kazi, tamaa za nini.
Naisi wanapofunga hesabu ya siku fedha zilizopo wanazimezea mate na kuzitamani
Ukiiba si ndio njia mojawapo ya kuongeza mtaji mkuu...kwa hiyo wewe unamuamini sana huyo Max
Wanataka shortcut
Akili mawazo yao ni kununua tako la nyani na kutesa na mabebeiz
Alafu Mtaani utawaskia watu wanasema jamaa ni very smart kichwani
Ova
Jiwe gizaniJina lake la mwisho lina reflect alichokifanya
Ni amart usipikamatwa....
Hawana plann kabisa yaan unaiba huku unatumia lain ya simu ya tz dadek lazima udakwe tuHalafu walivyo wapumbavu wakiiba wanaishia kupiga misele ya ovyo Dar Mbeya Mwanza Arusha!
Wanaiba wakiwa hawana malengo pambaff kbsa hawa
Wakamnyakaaa...!!Duh kaiba pesa afu kaenda kujificha gest jamaa chizi kweli unaiba pesa dodoma afu unaenda kujificha bahi
Duh kweli akili kumkichwa kanikumbusha kuna jamaa alimpa mwanafunzi mimba huko kahama afu jamaa akaenda kujificha kagongwa
kwani matako ya nyani ni bei gani sasa hiviWanatamani kusukuma matako ya nyani wangali vijana
Uko sahihi kabisa Hawa vijana hawajui kabisa wanaiba wanakaa na mihelaa yote wakati watu wanakaa hata miaka 2 hawagusi hata Mia na wako mjini tuwizi makini lazima uwe na exit plan kabla haujafanyika..
hawajasoma story ya boston bank robbery iliyoletwa humu jamvini...
unakuta mtu kama huyu ameiba hela halafu kaenda kujificha gesti huku ana simu yake ya mkononi au laini.. hajui simu zinasoma gps.. na pia hela zote kazibeba za nini kusafiri nazo?
hizo zinachimbiwa sehemu kisha anasepa na kiasi kidogo cha kumfikisha pa kujifichia.
magaidi wanakwambia sehemu safe ya mhalifu mkubwa kujificha ni karibu na makao makuu ya polisi, usalama wa taifa au makao makuu ya jeshi.. hata osama aliishi miaka zaidi ya 10 karibu na kambi kuu ya jeshi pakistan...
Unatakiwa kuishi bila network access ya Aina yeyote ile na unatakiwa baada ya kuiba tu uwe na plan kabisa ya kutoka na Kama hauna nawashauri msiibe bora uwe masikiniUzembe wake umemkamatisha. Hela kama hizo unatakiwa usiwasiliane na ndugu zako kamwe....
Ila alama za vidole zitasababisha wezi wakamatwe sana maana hata ukitupa laini bado itasoma fulani yupo hewani
Wiz Ni win and loose situation tu ukicheza vizuri umewini tatizo plan zetu za wizi tunapanga wiki ndio tuibe panga plan miez na miaka ukipiga wanajua hapa tumepigwa kitaaluma kabisaNi amart usipikamatwa....
kuna njia nyingi sana za kutafuta hapa chini ya jua...
Binafsi siamini katika huo mfumo wa wizi
Janga Kubwa Sana Vijana Sijui Tunakwama Wapi Hadi Tunakuwa Na Akili Kama NyaniHapo majuzi alikamatwa mfanyakazi CRDB, Leo EXIM, hawa vijana si wafanye kazi, tamaa za nini.
Naisi wanapofunga hesabu ya siku fedha zilizopo wanazimezea mate na kuzitamani
Jina lake la mwisho lina reflect alichokifanya
Wanataka shortcut
Akili mawazo yao ni kununua tako la nyani na kutesa na mabebeiz
Alafu Mtaani utawaskia watu wanasema jamaa ni very smart kichwani
Ova