Mtumie mtu mvivu kufanyakazi

Mtumie mtu mvivu kufanyakazi

Matendo Andrew

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2014
Posts
750
Reaction score
367
Nimekutana nahii kitu sehem ina nipa shida saana kama ni kweli inawezekana kibongobongo? Kwamba....(Mtumie mtu mvivu kufanya kazi ngum kwasababu mtu mvivu atatafuta njia nyepesi ya kuifanya kazi hyo....)
Naomba tubadilishane kidogo nywele hapa......
 
Njia nyepesi atakayotumia ni kuahirisha zoezi kuwa atalifanya kesho. Kesho pia itakuwa hivyo hivyo na mwisho njia nyepesi itakuwa ni kuachana nayo.
 
Njia nyepesi atakayotumia ni kuahirisha zoezi kuwa atalifanya kesho. Kesho pia itakuwa hivyo hivyo na mwisho njia nyepesi itakuwa ni kuachana nayo.
Kwahyo mkuu usemi huu unafanya kazi baadhi ya maeneo lakin sio tz au unamaanisha nini?
 
Back
Top Bottom