Mtume Mwamposa 'Buludoza' popote pale ulipo, tafadhali nijibu haya maswali yangu muhimu sana kwako

Mkuu so unamaanisha ni sawa na wafuasi wa ccm/Matanga?

'Matanga' ndiyo nini Mkuu? Yaani una Chuki na 'Kisununu' na CCM hadi unakosea hata Kuandika vyema maneno. CCM itatawala Tanzania 'Milele' tu.
 
Matanga ni kifupi cha Make Tanzania Great Again (MATANGA). So wanaccm kwa sasa wanajiita/Mnajiita Matanga
 
Halafu utawakutwa wakinamama na Wadada wazuri wako huko wanasubiri miujiza ya kuolewa wakati hawafanyi chochote juma lote wako kwa Mwamposa! Mwamposa yeye anaingiza sadaka wewe unarudi nyumbani hata maji ya kunwa huna. What for? Watu wajitambue makanisa yamekua njia za kilaghai siku hizi.
 
Hahahahah. Umesikika Prophet somebody.
Mimi si Prophet mkuu, ni muumini wa kawaida tu na sitaki vyeo vyovyote vya kikanisa/msikiti.
Lakini huyu Mwamposa a.k.a "Burudoza", watu au waumini wake naona hawasituki kuwa huyu jamaa ni tapeli.
Miujiza yake ilikosa upako wa aina yoyote baada ya wato 20 kufa kule Moshi.
Watu wema wanahubiri wagonjwa wanapona, kwake watu wazima wanajazwa tamaa na wanaishia kufa!
Huo upako wa Ibilisi!!
😡😡😡
 
Je,...

1. Ni kwanini Waumini wako wakitoka Ibadani huwa wanaishiwa Nauli na wanatusumbua Watu Mabarabarani kwa Kutuomba?

2. Ni kwanini Waumini wako wengi Uwezo wao wa Kujenga Hoja ni Mdogo na wakiona unawazidi wanasema una Pepo?

3. Ni kwanini Waumini wako wengi (siyo wote) wa Kike ni wepesi mno Kudanganyika, Kutongozeka na Kulalwa / Kungonoliwa?

4. Ni kwanini Waumini wako wengi wakiwa Kanisani wao muda wao wote Shingo zao zinaangalia nje kama DalaDala zinawaacha?

5. Ni kwanini Waumini wako wengi wanatumia Nguvu nyingi sana Kwetu Kutuaminisha kuwa Wewe ni bora na mahiri kuliko wote?

6. Ni kwanini 95% ya Muda wako uwapo Madhabahubi unahimiza tu Michango ya Sadaka ila Neno (Injili) huwa huipi sana nafasi?

7. Ni kwanini pamoja na Kupata Sadaka nyingi mno lakini huwazi kuhama Tanganyika Packers ambako Miundombinu yake ni mibovu?

Nayasubiri kwa hamu sana Majibu yako tafadhali.
Aisee hawa manabii wa leo ni njaa tupu wanatumiz nguvu za shetani kujifanya wana Mungu usiende kwa nabii yoyote wapiga pesa tu na watoa kafara
 
Halafu utawakutwa wakinamama na Wadada wazuri wako huko wanasubiri miujiza ya kuolewa wakati hawafanyi chochote juma lote wako kwa Mwamposa! Mwamposa yeye anaingiza sadaka wewe unarudi nyumbani hata maji ya kunwa huna. What for? Watu wajitambue makanisa yamekua njia za kilaghai siku hizi.

Na kama kuna Mtu ambaye huwa 'nawavuna' Kingono Waumini wa Kike ( Mademu ) wanaosali hapo Kwake ni Mimi. Ni wepesi kama Toilet Tissues.
 
Je,...

1. Ni kwanini Waumini wako wakitoka Ibadani huwa wanaishiwa Nauli na wanatusumbua Watu Mabarabarani kwa Kutuomba?

2. Ni kwanini Waumini wako wengi Uwezo wao wa Kujenga Hoja ni Mdogo na wakiona unawazidi wanasema una Pepo?

3. Ni kwanini Waumini wako wengi (siyo wote) wa Kike ni wepesi mno Kudanganyika, Kutongozeka na Kulalwa / Kungonoliwa?

4. Ni kwanini Waumini wako wengi wakiwa Kanisani wao muda wao wote Shingo zao zinaangalia nje kama DalaDala zinawaacha?

5. Ni kwanini Waumini wako wengi wanatumia Nguvu nyingi sana Kwetu Kutuaminisha kuwa Wewe ni bora na mahiri kuliko wote?

6. Ni kwanini 95% ya Muda wako uwapo Madhabahubi unahimiza tu Michango ya Sadaka ila Neno (Injili) huwa huipi sana nafasi?

7. Ni kwanini pamoja na Kupata Sadaka nyingi mno lakini huwazi kuhama Tanganyika Packers ambako Miundombinu yake ni mibovu?

Nayasubiri kwa hamu sana Majibu yako tafadhali.
PICHA YAKE MKUU TUMUONE TUSIOMJUA
 
Mi nlifikiri una mambo ya maana kumbe UPUMBAVU ULE ULE WA SIKU ZOTE. We bwana mdogo una penda attention za kijinga. Adam Mchomvu we ndo angekupasua vibaya sana. Waumini wa Mwamposa achaneni na huyu Fala hana uelewa. Fanyeni mambo yenu. Kunyamaza pia ni jibu kwa mtu mpumbavu.😁😁😁😁
 
Sifa zote ulizonitajia hapa 'aliyekuzaa' ndiye 'Kanirithisha' hivyo kama ni 'Hasira' nashauri anza Kuzilekeza Kwake wakishindwa zireshe Kwangu tu.
 
Je,...

1. Ni kwanini Waumini wako wakitoka Ibadani huwa wanaishiwa Nauli na wanatusumbua Watu Mabarabarani kwa Kutuomba?

2. Ni kwanini Waumini wako wengi Uwezo wao wa Kujenga Hoja ni Mdogo na wakiona unawazidi wanasema una Pepo?

3. Ni kwanini Waumini wako wengi (siyo wote) wa Kike ni wepesi mno Kudanganyika, Kutongozeka na Kulalwa / Kungonoliwa?

4. Ni kwanini Waumini wako wengi wakiwa Kanisani wao muda wao wote Shingo zao zinaangalia nje kama DalaDala zinawaacha?

5. Ni kwanini Waumini wako wengi wanatumia Nguvu nyingi sana Kwetu Kutuaminisha kuwa Wewe ni bora na mahiri kuliko wote?

6. Ni kwanini 95% ya Muda wako uwapo Madhabahubi unahimiza tu Michango ya Sadaka ila Neno (Injili) huwa huipi sana nafasi?

7. Ni kwanini pamoja na Kupata Sadaka nyingi mno lakini huwazi kuhama Tanganyika Packers ambako Miundombinu yake ni mibovu?

Nayasubiri kwa hamu sana Majibu yako tafadhali.
8.Ni kwa nn unawauzia waumini wako maji sh 1000. akat mtaan yanauzwa 500?
 
Back
Top Bottom