Mtume Mwamposa 'Buludoza' popote pale ulipo, tafadhali nijibu haya maswali yangu muhimu sana kwako

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,689
109,117
Je,...

1. Ni kwanini Waumini wako wakitoka Ibadani huwa wanaishiwa Nauli na wanatusumbua Watu Mabarabarani kwa Kutuomba?

2. Ni kwanini Waumini wako wengi Uwezo wao wa Kujenga Hoja ni Mdogo na wakiona unawazidi wanasema una Pepo?

3. Ni kwanini Waumini wako wengi (siyo wote) wa Kike ni wepesi mno Kudanganyika, Kutongozeka na Kulalwa / Kungonoliwa?

4. Ni kwanini Waumini wako wengi wakiwa Kanisani wao muda wao wote Shingo zao zinaangalia nje kama DalaDala zinawaacha?

5. Ni kwanini Waumini wako wengi wanatumia Nguvu nyingi sana Kwetu Kutuaminisha kuwa Wewe ni bora na mahiri kuliko wote?

6. Ni kwanini 95% ya Muda wako uwapo Madhabahubi unahimiza tu Michango ya Sadaka ila Neno (Injili) huwa huipi sana nafasi?

7. Ni kwanini pamoja na Kupata Sadaka nyingi mno lakini huwazi kuhama Tanganyika Packers ambako Miundombinu yake ni mibovu?

Nayasubiri kwa hamu sana Majibu yako tafadhali.
 
Naona Kisu changu kimegusa katika Mfupa Mkuu. Pole sana na tuvumiliane tu kwani wengine 'Kudadisi' na 'Kuchunguza' ni sehemu ya Furaha zetu.
Naomba niipokee pole yko mkuu'' Akhsante''

Tuvumiliane tu maana wengine kuona vijembe visivyo na maana hatuwezi..nikaona busara nikupange tu, kwamba, huyo Mwamposa mbona ni easy tu kumpata tena hata face to face unaweza onana nae pasipo malipo yoyote, ni vyema ungepeleka dukuduku lako kwake mkuu..utapata majibu yko vzur mno
 
Sawa Mrs. Mwamposa siku zingine nitafanya hivi. Vipi mnaanza Kulala na 'Kubaiolojiana' Saa ngapi ili nikutakieni 'Baioloji' njema nae huyo Mumeo?
 
Hii nayo huwa inafikirisha,kwamba ubakize nauli tu....

Teh logic ya kujimaliza haipo hivi mkuu. Kwani Ibrahimu alivyotaka kumtoa Isaka sadaka angebakiwa na mtoto yupi? Unapojimaliza una acha nauli ya nini sasa? Ukiacha pesa ya nauli maana yake kiwango chako cha imani ni kidogo. Inatakiwa ujikung'ute kabisa kila kitu. Usibakize hata senti.
 
20200817_235809.jpg
 
'Wapumbavu' wa 'Kiimani' hamtoisha nchini Tanzania.
 
Back
Top Bottom