Mtumbwi unauzwa Mwanza

Mtumbwi unauzwa Mwanza

NGARUKA

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2014
Posts
402
Reaction score
71
Wanajukwaa kama kuna mtu anahitaji mtumbwi wa kufanyia biashara ya dagaa kutoa visiwani kuleta mwalon upo na unatumia injin. uko katika hali nzuri na unafanya kazi mpaka leo kutoa dagaa visiwani kuleta mwalon Kirumba. kama uko interested njoo pm. bei maelewano picha ntaweka.
Asanten
 
Nilisikia Yegomasika akiulizia mtumbwi...........ngoja nimuite...........
 
Last edited by a moderator:
Nilisikia Yegomasika akiulizia mtumbwi...........ngoja nimuite...........

Ni kweli, nilikuwa nahitaji mtumbwi. Lakini nshapata mwingine. Asante kwa kunistua bhana!. Vipi unahitaji dagaa nimtume mtu akuletee?.
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli, nilikuwa nahitaji mtumbwi. Lakini nshapata mwingine. Asante kwa kunistua bhana!. Vipi unahitaji dagaa nimtume mtu akuletee?.

Wale ulionitumia hawajaisha........sikukuu hizi nilikuwa nakula kuku ndio namaliziamalizia..........tuma kuanzia tar 15.........
 
Wale ulionitumia hawajaisha........sikukuu hizi nilikuwa nakula kuku ndio namaliziamalizia..........tuma kuanzia tar 15.........

Inabidi uwapende tu hao samaki wadogo wadogo!.
 
Back
Top Bottom