Mtumba vs Mpya....!!!!!!!!!!!!

Uzoefu wangu nshausema na umeishia hapo....tatizo umetarajia makubwa zaidi kutoka kwangu ndo mana hauamini....mwe

Sio kweli kabisa

Wewe unanibania tu!
 
Ni kweli ni bora upate mzoefu kunako six;hawa mabikra not bad ila wakiisha onja sukari dah wanapagawa.
Kama we ni mzembe utakakanyagiwa balaa;heri mzoefu.
 
Huamini nini?

Au umepata bikra?

...mkuu leo ndo nimegundua mambo mengi sana, kwanza nimepata majibu ya kwanini nzi hupenda vinavyonuka, pili sababu ya watu wengi kutoka nje ya ndoa maana jasiri haachi asili and vice versa,tatu asili ya moyo wa hatia kwa mwanadamu afanyapo jambo lililo nje ya vile anapaswa haupo tena...! hiii kwangu ni kama research ya moja ya vyanzo vya migogoro ya ndoa...
 
Hahaaa mamy kuna notes nilikuwa nazo ndo nimezitumia hapa......ila hizo notes hazina nadhalia kwa vitendo....mwe kwa hyo usiogope paroko yuko salama....

Kuna haja ya vitendo?
 
Ni kweli ni bora upate mzoefu kunako six;hawa mabikra not bad ila wakiisha onja sukari dah wanapagawa.
Kama we ni mzembe utakakanyagiwa balaa;heri mzoefu.

So hawana faida yoyote?
 
Mkuu,hayo majibu umeyapatia hapa kwenye huu uzu au?
 
Mkuu kwani hicho ulichokiquote hujakielewa?
Mimi sijawahi kuvua kyupi ya mwanamke kabisa....lol!

Hongera na usijaribu mpaka hapo utakapopata mwenza wako wa maisha. Sasa unayapataje mautamu lol!
 
Highly experienced ndio kila kitu!!!!!!!!!!! Vinginevo the all activity gets boring! Ila tusisahau kuna QUICK LEARNERS!!!!!!!

mabikra nao wakionja bwana, wanakuwaga kama wako kwenye puberty!

nalogoff!
 
Hongera na usijaribu mpaka hapo utakapopata mwenza wako wa maisha. Sasa unayapataje mautamu lol!

Kuna mautamu mengi
Wewe unayazungumzia yapi?

Ya ugali wa udaga au wali wa nazi?
 
Mkuu hapo kwenye bold ndio nini hicho?

the period at the beginning of adolescence when the sex glands become functional and the secondary sexual characteristics emerge!

samahani mkuu, una umri gani vile?
 
Highly experienced ndio kila kitu!!!!!!!!!!! Vinginevo the all activity gets boring! Ila tusisahau kuna QUICK LEARNERS!!!!!!!
Its like mwajiri analetewa mfanyakazi ambapo mmoja ni fresh from school na mwingine ana uzoefu mrefu kazini,,,,,bila shaka atachagua mzoefu,,ingawa kuna exception pia.
 
bikira ndo mpango mzima unatoa ile kitu mwenyewe halafu mnaanza darasa la kwanza mpaka phd ni raha kweli......maana ukitaka mzoefu aliyefundishwa na wenzako atataka ufanye kama alivyofanyiwa kitu ambacho hakiwezekani.....kwa uzoefu inachukua siku ngapi?...hapa ni suala la kujiongeza tu...mbona sijasikia watu wakisema hawahitaji kwenda ikulu vile hawana uzoefu kila mtu macho ikulu.....otherwise poleni sana wale milonyofolewa halafu hamjaolewa bado najua mtalalama hamhitaji kuolewa hehehehehe
 
Naona
Asilimia kubwa hapa tunajivunia Uzoefu wa Zina bila hata hofu Ya hukum
yake,, tukumbuke Imeandikwa Wazinzi na wa asherati Mungu ata ............
Baba Paroko jazia hapo
 
Highly experienced ndio kila kitu!!!!!!!!!!! Vinginevo the all activity gets boring! Ila tusisahau kuna QUICK LEARNERS!!!!!!!
Hao wenye uzoefu wanakuwa wamepata wapi kama hawakufundishwa, kwanini usiwe miongoni mwa walimu ili na wengine wajivunie kupata wenye uzoefu kama wewe unavyofurahia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…