Mtumba vs Mpya....!!!!!!!!!!!!

Mi naona bikra anafaa....kama hatakua pekupeku baada ya mafunzo.....

Watu wanasema moja ya tatizo la mwanamke bikra ni kutamani kuonja vile ambavyo hajavionja
Wewe unalionaje hilo?
 
Mkuu inamaana umezoea kuzisimamia kama njenje?[baiskeli]

They are among of those i dated kipind cha nyuma kwa muda tofauti na kuwakuta hivyo na ilichukuwa muda sana mpaka kunipa zawadi [naita zawadi coz kwao ndo ilikuwa mara ya kwanza]. Jambo zuri pia nikwamba nilidumu nao sana. Ila kwasasa bikra hapana mkuu
 
Hahaaaa usiniache hoi.......ngoja nitafute notes zingine labda ntazibamba mahali...

Hizi ni dalili za kuniacha solemba
Sasa hii makitu si unaijua inakuwaje utafute notisi tena?

Sio vizuri hivyo ujue...lol!!
 
Sikimbii ila akili yangu imeishia hapo....mwe...

Hivi unajua kufanyiana mtima nyongo kwenye mambo matam kama haya sio vizuri kabisa?

We haya tu!!!!!!
 
Mkuu mbona umesema hapo kuwa walikupa zawadi?
Hiyo inamaana hicho ni kitu kizuri
Sasa mbona wakikataa?

Mkuu wewe ni ndugu na Fidel80 ??
 
Last edited by a moderator:
Watu wanasema moja ya tatizo la mwanamke bikra ni kutamani kuonja vile ambavyo hajavionja
Wewe unalionaje hilo?

Mmmh! Hilo lipo kotekote....maana kuna jamaa alijitunza hadi akavuta mke.....after kuonja ile mambo kawa chovyachovya balaa........so bikra yeyote akianza kutafuta ladha tofauti lazima awe atamani tamani tuuu hivyo vya tofauti.....
 
Hivi unajua kufanyiana mtima nyongo kwenye mambo matam kama haya sio vizuri kabisa?

We haya tu!!!!!!

Yani unaweza kunipa lawama katika hili ila ukweli nimeishia hapo....kwenye hayo mambo niko zero aisee......hzo ndo notes nilizokuwa nazo...ngoja nikahudhulie discussion labda ntaambulia points nyingine...mbili tatu...mwe..
 
Mmmh! Hilo lipo kotekote....maana kuna jamaa alijitunza hadi akavuta mke.....after kuonja ile mambo kawa chovyachovya balaa........so bikra yeyote akianza kutafuta ladha tofauti lazima awe atamani tamani tuuu hivyo vya tofauti.....

Kwahiyo wewe hii ndio sababu inayokufanya uwakimbie mabikra?
 
Mwenye macho lakini hapa ni tofauti........
Hapa ni kipofu unaetaka kuingia nae kwenye ndoa kwa lolote awe tayari kuvumilia!!!!!!!!

Sasa wewe unaonaje kumsaidia mwenye asie na macho kama ulivyosaidiwa wewe?
Kwani aliyekufumbua macho alikuoa?
 
Hizi ni dalili za kuniacha solemba
Sasa hii makitu si unaijua inakuwaje utafute notisi tena?

Sio vizuri hivyo ujue...lol!!

Sijui zaidi ya hapo....ndo mana notes nyingine nazihitaji ili niongeze ujuzi..
 
Kwakipindi kile kasi yangu ilikuwa moderate tofauti na sasa inayoitaji mwalimu-mwalimu match. Hapana sio ndugu yangu na wakati najiunga nilitaka hiyo Fidel ndo iwe ID yangu humu ila moderator akaniambia inatumika tayari so I chose to be identified as fyddell
 
Yani unaweza kunipa lawama katika hili ila ukweli nimeishia hapo....kwenye hayo mambo niko zero aisee......hzo ndo notes nilizokuwa nazo...ngoja nikahudhulie discussion labda ntaambulia points nyingine...mbili tatu...mwe..
Mi naona tu hutaki

Kwanini unanifanyia hivi lakini we mrembo?
 
Sijui zaidi ya hapo....ndo mana notes nyingine nazihitaji ili niongeze ujuzi..

Muone ulivyo muongo

Yaani unaamua kunichinjia baharini hivi hivi?
 
Mi naona tu hutaki

Kwanini unanifanyia hivi lakini we mrembo?

Hahaaaa hii kesi niliyoinunua uku ni balaa...

Ulikuwa na matarajio makubwa...unaona sasa....vumilia aisee.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…