Yote...kama hajui mapenzi...mchovu...ana maumbile tofauti na uliyoyatarajia......yani uvumilie yote ambayo yatakwenda kinyume na matarajio yako...
Bikra haifai hata kidogo hasa siku ya kwanza, na mmojawapo akiwa ni mzoefu tayari. Kama siku ya kwanza aliye na bikra asipofurahia tendo, basi itakuwa ni majanga tupu. Nakubaliana na aliyesema bora wakutane wote mabikira.
Nina makovu mawili shavuni na shingoni yaliyotokana na hao bikra. Huwezi kuniambia uzuri wa bikra nikakuelewa kirahisi.Hao ambao wanaponda bikra ..hawana lolote zaid ya sizitaki mbichi hizi!
Kama hujui kesho naja kukuchumbia halafu mimi bikra
SITARAJII MASWALI
Huwa nasikiaga eti sijui wanaingizaga sijui wapi
Mi nashangaaga tu kikojoleo changu kinavimba mara nyingi nikiona maeneo fulani ya wanawake
Na mara nyingi asubuhi huwa kinanisumbua sana
Natumai kwako nitakuwa na uhuru wa kusema kile nisichokijua
CC: Heaven on Earth , Husninyo .....lol!!!!
Kumfundisha naweza lakini inatakiwa kujiandaa kwelikweli.Hutaki kuwajibika kumfundisha?
Nina makovu mawili shavuni na shingoni yaliyotokana na hao bikra. Huwezi kuniambia uzuri wa bikra nikakuelewa kirahisi.
Wewe unapenda nini?
Used au?
Kama hujui kesho naja kukuchumbia halafu mimi bikra
SITARAJII MASWALI
Huwa nasikiaga eti sijui wanaingizaga sijui wapi
Mi nashangaaga tu kikojoleo changu kinavimba mara nyingi nikiona maeneo fulani ya wanawake
Na mara nyingi asubuhi huwa kinanisumbua sana
Natumai kwako nitakuwa na uhuru wa kusema kile nisichokijua
CC: Heaven on Earth , Husninyo .....lol!!!!
Kwaniniutarajie kitu usichokuwa na uhakika wa uwepo wake?
Haafu kwani uchovu ni kilema?
Mkuu hakuna mzoefu ambaye hakuwahi kuwa bikira...
Really??
Ngoja nikucheki kule mafichoni unipe ditailz!!!
Inaonekana ndio hivyo, lakini nawe unayetoa hiyo bikra lazima utoke na maumivu na majeraha.Wanasemaga huo ndio utamu wenyewe
Mbona nasikiaga eti wenyewe kwenye "mechi" wanasemaga eti wanaumia kumbe kule kuumia ndio utam wenyewe..lol!
Kumbuka wew ni used kwa hyo lazima utakuwa na matarajio fulani kutoka kwa huyo bikra.......
Uchovu ni kilema cha kujitakia....na hapo itategemea kama huyo mtu yuko tayari kutoka kwenye hicho kilema cha kujitakia.....