Mtulia: Mkinikopesha kura zenu, nitawalipa maendeleo

Mtulia: Mkinikopesha kura zenu, nitawalipa maendeleo

Kuna watu sijui huwa wanafikiria kweli, kama kuna watu wanamuunga huyu jamaa mkono kwa kitendo chake hakika wanahitaji kupimwa mkojo
Katika hili CCM mmeonesha udhaifu na kuchezea akili za watu, hamkushtushwa na gharama zisizo na msingi waliotuingiza km nchi kurudia uchaguzi, bila hiyana na nyie mkawarudisha haohao?
Kinachonishangaza ni kwa nini namba moja anapenda kupendwa? Hivi kama anajiamini ni kwa nini anunue watu? Au ndo gear ya kupata kuungwa mkono ili aongezewe miaka 7?
 
Mtulia haoni hata aibu! Nitawashangaa mno wana Kinondoni wakimrudisha,anakera hadi kuudhi!
 
Nina uhakika wangepitisha kura ya maoni, Mtulia asingepata kitu. Hata CCM hawampendi, basi tu
 
Kitu kimoja ambacho wengi hamjakifikiri ni kwamba huyu jamaa amenunuliwa na ccm kwa mapatano maalum kuwa agombee hapohapo na ni lazima atashinda kwa mbeleko ya ccm, pamoja na kwamba waliompigia kura 2015 hawatampigia tena safari hii, halafu kama mlimsikia Jana polepole alisema "Mtulia na Molel tayari ni wabunge wanasubiri kuapishwa tu" sasa hapo tujiulize jeuri hii inatoka wapi kama siyo deal limetengenezwa
 
Huyu mtu kwel ana akiki timam? umeliingizia taifa hasara si chini ya bilion moja, leo hii unataka kufuja tena pesa zetu sisi walipa kodi hv kwel una akili timam ww? mnatia kichefu chefu sana viongoz we namna iyo hata hao watakaokukopesha izo kura sidhan kama akili zao zitakuwa sawa kwa kifupi tu huna hata sifa ya kuwa kiongoz
 
uyu jama inabid ajitathimin sana sababu hii sio akili ya kawaida, kwa mtu mwenye akili yimam hawez kutufanya watanzania kama mapunguan sababu anachokifanya ni kututukana sana yaan anaamin kuwa anaweza kutufanya anachojiskia na ndio maana karud tena kutuomba kura, naomba sana ungu amuhukum kwa usaliti alioufanya ili siku nyingine iwe fundisho kwa watu wajinga kama yeye
 
Kitu kimoja ambacho wengi hamjakifikiri ni kwamba huyu jamaa amenunuliwa na ccm kwa mapatano maalum kuwa agombee hapohapo na ni lazima atashinda kwa mbeleko ya ccm, pamoja na kwamba waliompigia kura 2015 hawatampigia tena safari hii, halafu kama mlimsikia Jana polepole alisema "Mtulia na Molel tayari ni wabunge wanasubiri kuapishwa tu" sasa hapo tujiulize jeuri hii inatoka wapi kama siyo deal limetengenezwa
MKUU KAULI HII YA POLEPOLE WANGEISEMA UPINZANI JECHA ANGELETWA FASTA
 
Mkopo Wa 2015 hajarudisha, ni mchechefuaji huyu?_ bungeni anaenda kumwakilisha nani maana tulimtuma 2015 kwa basi kaamua kupanda ndege ya lift
 
Kama huyu Mtulia angekua Ulaya basi hata mkewe asingempa kura.
Lakini naamini Watuwa kinondoni hawatampa kura hata moja.
Hata ccm hawana sababu za kumpa kura....hafai hastahiki ni jambazi wa kisiasa.
 
HAPA NDIO TUTAPIMA AKILI ZA WANANCHI WA KINONDONI SABABU KAMA MTU ALIAMINIWA KUTUWAKILISHA WANANCHI KISHA AKASHINDA KIBISHI BISHI ALAFU BILA AIBU ANASALITI WANANCHI KIURAHISI HIVYO ALAFU BADO ANATUONA WAJINGA ANARUDIA TENA. KUOMBA KURA KWELI HAPA ATAKAYEMCHAGUA HUYU JAMAA LABDA AWE MWENDAWAZIMU.
 
Mbwa kabisa ww......msinotafutie ban kwa nguvu jamani...nani akuchague ww? Unampenda magufuli? Unaakili kweli?
 
Back
Top Bottom