Hiyo ni chai kaweka kwenye paket ya konyagi na kibaya zaidi sio mrombo anaigiza tuuu acheni dharau tatizo mnawagwaya sana wachagga kwani ni tishio kwa uchumi na biashara
Afadhali hii kitu imewekwa wazi kama ni kweli ili rombo izidi kujulikana. Sema tu sio rombo nzima ni kile kisehemu cha mpakani kinaitwa kikelelwa ndo kimejawa na hizo tabia. Sasa dc yeye akasema rombo nzima sema com skills nayo ni shida wakati mwingine.