Mtu yeyote asisome.

ckia hii;
Wendazimu 10
waliamua kufungua shule chini ya
mti.
Wakaokota vitabu wakajifanya
wanasoma. Kesho yake, walimkuta 1
wao amepanda juu ya mti.
Kumuuliza
mbona uko juu?
Alijibu,
"Mie niko high
school"
 
ckia hii;
Wendazimu 10
waliamua kufungua shule chini ya
mti.
Wakaokota vitabu wakajifanya
wanasoma. Kesho yake, walimkuta 1
wao amepanda juu ya mti.
Kumuuliza
mbona uko juu?
Alijibu,
"Mie niko high
school"

Dah! Kwa heri.
 
Hallo mpendwa ! Uko wapi sasa, hujanitembelea, hujapiga simu, hujatuma sms, hujanibp napata hofu sasa au upo tena Jela ?
Nijibu nipate afueni !!!
baada ya kuhisi niko jela umechukua hatua gani?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…